Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Huyu ni mimi kabisa, ila hapo kwenye kutafuta marafiki sidhani kama ni sahihi. Rafiki hatafutwi, urafiki unajengwa na mazingira yanayokukutanisha na huyo rafiki. Binafsi nenjoy maisha yangu, sioni kama napungukiwa kitu kuwa mwenyewe muda mwingi ila nnachoona kwako ni kama una upweke so huenda siyo introvert ila una shida sehemu.Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan yanayousiana na hii personality.
0675173464 watssap