Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
kupima ndo gharama zaidi we fanya tu transfer sio gharama kiivyo
Upimaji shirikishi itabidi ukubali kipande chako cha ardhi kiasi kimegwe ili kuwa mbadala wa fedhaTransfer process ni kweli kabisa kwamba aghali, hata mchakato wake pia ni mrefu.
Lakini hutegemea zaidi na mahali penyewe ambako Ardhi hiyo ilipo.
Kuwa mvumilivu na ujiandae sawa sawa kiuchumi na kisaikolojia.
Hutegemea na aina yenyewe ya mchakato mzima wa Upimaji wa Ardhi, shirikiana na wenzako ili muweze kuchangia gharama kwa pamoja. Usipende kupima Ardhi yako ukiwa peke yako kwa sababu mzigo wote kabisa wa gharama utakuwa juu yako.
Sio kweli, gharama za kubadilisha inategemea na bei anayouziwa!!! All in all, kubadilisha lazima iwe ghali kuliko kuomba hati mpya, kuomba hati mpya inaweza kukucost laki 5kupima ndo gharama zaidi we fanya tu transfer sio gharama kiivyo
Kiwanja ukubwa Gani unapata hati Kwa laki 5Sio kweli, gharama za kubadilisha inategemea na bei anayouziwa!!! All in all, kubadilisha lazima iwe ghali kuliko kuomba hati mpya, kuomba hati mpya inaweza kukucost laki 5
Ila kama ukinunua kiwanja chenye hati Cha million 50, mpaka unamaliza transfer m6 lazima zikutoke hapo
hio inategemea kipya kimepimwa au la kikiwa kipya alafu kimepimwa ndo unyama gharama inakua ndogo lakin kama umemuelewa yeye anataka achukue kipya alafu akilime mwenyew yaan upimaji binafsi. Je, wajua gharama za kupima kwa square Metre moja?Sio kweli, gharama za kubadilisha inategemea na bei anayouziwa!!! All in all, kubadilisha lazima iwe ghali kuliko kuomba hati mpya, kuomba hati mpya inaweza kukucost laki 5
Ila kama ukinunua kiwanja chenye hati Cha million 50, mpaka unamaliza transfer m6 lazima zikutoke hapo
gharama ya tranfser sio kubwa inategemea kiwanja umekinunua bei ganiNaomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
walikupiga sana tena sana maana capital gain ni 10%, na kinachoangaliwa ni valuation report ya mthamini wa ardhi against tra valuation.Kwa kweli kubadili Hati ni gharama sanaa kuna kiwanja nlitunua 4m kubadili jina itakiwa 1.5m nakuna nyumba nilinunua 25m lkn surveyor alikuja kusema nyumba ina thaman ya 48m ivo kuibadili iyo Hati ni kama 3.2m
Capital Gains sio 10%. Ilishushwa mpaka 3%.walikupiga sana tena sana maana capital gain ni 10%, na kinachoangaliwa ni valuation report ya mthamini wa ardhi against tra valuation.
kweli section 90(1) ya income tax act (cap 332) kwenye kipengele b ni 3%.Capital Gains sio 10%. Ilishushwa mpaka 3%.
Ambayo kisheria inapaswa kulipwa na muuzaji. Kiuhalisia muuzaji anakimbia, serikali inakuja kumdaka wanaemkuta na mali, wewe. Serikali haina mkono mrefu wa kumpata mtu aliyeingia mitin. Ndo maana mpangaji analipishwa property tax ya mwenye nyuma kutumia bili ya LUKU. Hawajui pa kumpata tajiri
Sasa badala ya kulipa 3% yote, lipa nusu, 1.5% kwa makubaliano na muuzaji kabla ya kununua. Pale ndo umemnyiga kabali muuzaji, wazungu wanasema you got him by the balls, umembinya mapuXXX, akifurukuta anajiumiza mwenyewe, anaogopa biashara haitafanyika.
Tuwe tunapenda kuhusishs ma lawyer. Lakini sio kila lawyer amewahi kushughilikia hizi kesi. Wengine hawajui kabisa documentation za mambo ya ardhi. Hawajawahi kufanya.
Ukijaribu ku avoid gharama za transfer ina maana utaishi kwenye kiwanja kisicho na makaratasi milele ? Huna hata dhamana ya kumtoa mtoto rumande akinyigwa na sheria mahala? Una mali bila makaratasi. Bila urasmi. Bila elimu. Kama Chifu Mangungo wa Msovero.
daah kumbe ilibadilika hii?. afadhali aisee. niliwahi kukutana nayo ilikuwa 10% huko miaka flani.kweli section 90(1) ya income tax act (cap 332) kwenye kipengele b ni 3%.
kiongozi kama unaogopa gharama za transfer nunua kiwanja kisichopimwa hautakutana na izo gharamaNaomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
Hawa wandu wa tra ndio kikwazo aisee ila huko kwengine wala hamna longolongo kama paper work ulifa ya vizuri. Tax clearance ndio mtitiKwa kweli kubadili Hati ni gharama sanaa kuna kiwanja nlitunua 4m kubadili jina itakiwa 1.5m nakuna nyumba nilinunua 25m lkn surveyor alikuja kusema nyumba ina thaman ya 48m ivo kuibadili iyo Hati ni kama 3.2m