Kila mafanikio huanza na desire, kuwaza tu hilo ni step nzuri sana nikushauri ukasome kitabu cha robert kiyosaki ""before you quit your job ""kitakuongezea maarifa kabla ya kuchukua maamuzi
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekuwa kwenye ajira mwaka wa pili, nimeona biashara zinalipa, haswa kilimo biashara, nahitaji ushauri na jinsi ya kupata masoko.
Mkuu Kazi yako ni ipi? Monthly income kiasi gani? Tuanzie hapo kwanza Kwa sababu kama unaacha kazi inayokuingizia labda zaidi ya 2m Kwa mwezi Kwa ajili kilimo, sikushauri