Nataka kuacha kazi niingie kwenye kilimo nishaurini

Nataka kuacha kazi niingie kwenye kilimo nishaurini

Ukiweza kutuonyesha waliofanikiwa kupitia kilimo wakawa na maisha mazuri tujuze nasi tuache kazi
 
Kila mafanikio huanza na desire, kuwaza tu hilo ni step nzuri sana nikushauri ukasome kitabu cha robert kiyosaki ""before you quit your job ""kitakuongezea maarifa kabla ya kuchukua maamuzi
 
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekuwa kwenye ajira mwaka wa pili, nimeona biashara zinalipa, haswa kilimo biashara, nahitaji ushauri na jinsi ya kupata masoko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kazi yako ni ipi? Monthly income kiasi gani? Tuanzie hapo kwanza Kwa sababu kama unaacha kazi inayokuingizia labda zaidi ya 2m Kwa mwezi Kwa ajili kilimo, sikushauri
 
Back
Top Bottom