Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kazi yako ni ipi? Monthly income kiasi gani? Tuanzie hapo kwanza Kwa sababu kama unaacha kazi inayokuingizia labda zaidi ya 2m Kwa mwezi Kwa ajili kilimo, sikushauriKama kichwa kinavyojieleza, nimekuwa kwenye ajira mwaka wa pili, nimeona biashara zinalipa, haswa kilimo biashara, nahitaji ushauri na jinsi ya kupata masoko.
Sent using Jamii Forums mobile app