Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Na ndio wanaosambaratisha sana ndoa za mabinti wasasa. Mzazi anafuatilia maisha ya binti yake utadhani anamla. Inakera balaa.
 
Kutishana tu. Watoto waishi kwa shida kwan maisha yao yote watakuwa hapo nyumbani kwa baba yao?

Watoto unakaa nao sana ni hadi wakifika miaka 20 then wanaenda kujitegemea, sasa watatesekaje?

Ni wewe tu kumpangia utaratibu huyo mke mpya maana hata yeye anajua hao watoto sio wake so anawalea kwa huruma tu na si lazima awapende moyoni kama wakwake bali anatakiwa kuwa jali tu kwa upendo na hisani ya Mama.
 
Kuachana nae ni maamuzi yako, ila nina ombi moja kwako. Usifanye haraka ya kuoa mapema kisa kuachwa na huyo mwanamke, jipe mda wa kumtafuta mwanamke anayeweza kuvaa kiatu cha mama kwa watoto wako.
 
Easier said than done
 
Ukiwa hujaelewa kitu uliza

Maelezo yanaonesha ni muhanga
 
Yani mwanamke sijamfukuza kaondoka mwenyewe,halafu niende kuuliza kwao kwanini kaondoka!!!? ,labda kama kaniroga vinginevyo atasubir sana
 
Mjukuu wa Magika nishauri nimeachana na mume wangu kisa anatembea na amezaa mtoto 1 naye mke wakaka yake. Tumelijua hilo tulilivumilia sasa tushauriana kuwaaacha kwa sababu sisi ni waaminifu ni mbaya tukioana na shemeji yangu wao wakae pamoja?? Maana kuna siku tuliamua kuonjeshana tu ili kiu zikate . Unaonaje swali hilo
 
Kama shemeji yako na mke wake walifunga ndoa na inajulikana sio poa nyie kuoana maana jamii itawashangaa sana. Kikubwa endelea na mme wako lakini pia punguza ukaribu na shemeji yako ili ndoa zenu zidumu vinginevyo zitavunjika. Mapungufu na matatizo yaliyotokea myasahau msonge mbele katoto kazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…