Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

TUMEAMBIWA TUISHI NAO KWA AKILI ILA NDUGU YETU AKILI IMEISHIA KWENYE UPWIRU ILA SIO MBAYA TUMTOE UKO KWANZA TUMLETE KARIBU YETU INAWEZEKANA ANA KUBWA ANATUFICHA NA ILI TUMWEKE SAWA ATUWEKE WAZI
 
Mtoe out,mletee zawadi, mpe helaa, mpende vizuri. Utapewa hadi utapewa tena. 😝😝mnadhani mkishamuweka ndani mtu hachoki.
Sisi ndio hatuchoki kufanya yote hayo? 🤔
 
Kama unaweza kufanya uamuzi wa kumuacha utakuwa uamuzi wa busara sana nina ndoa ya Miaka 15 lakini nakufahamisha kuwa wanawake wa zama hizi ni wasumbufu na wapuuzi
 
Ule unaonekana udhaifu kwa wanawake, siku zote ndio huwa nguvu inayowatumikisha wanaume maisha yao yote!

Wanawake wajanja wanajua wanaume wanapenda kuwa in controll.

Kwa sababu hiyo, mara zote wanawapa impression kwamba, kuishi na amani yao inategemea zaidi nguvu na ulinzi wa wanaume.

Ni hapa mwanaume ambapo huwa anajikuta anaenda extra miles kumthibitishia mwanamke kwamba yeye anastahili zaidi!

Unknowingly wanajikuta wanacheza ngoma inayopigwa na wanawake.

Wanawake wajanja sio wale wanaoshindana na wanaume in any ways. Ila ni wale wanaowafanya wanaume wajione wanaweza kila kitu kuliko wao.

Hapo ndipo wanaume hujipiga kifuani na kutaka kutekeleza kila hitaji lao.

Wajanja huwa hawataki kuihubiri kabisa equality majumbani kwao. Wao wanajua kudai equality majumbani ni sawa na mbuzi kuhitaji kucheza match ya nguvu na kifaru!
 
Kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…