Nataka kuachana na mwanamke

Tatizo sio mkeo, tatizo ni wewe.
 

Ukileta mke unapungua kila kitu half and if not strong hata zaidi, vunavyopungua:

1. Juhudi ya kutafuta hela.
2. Ku take risky.
3. Kama ana nuksi na ushetani.
 
Nyie wanawake mnachosha mno mimi nimesema sioi hadi uzeeni bora nikalelewa na house girl kwa kutumia pesa zangu kuliko kuishi na tegemezi.
Kukimbia tatizo sio kusolve tatizo....wakae chini wajadiliane namna gani wataongeza kipato...Ila wanawake sie sometimes ujuaji mwingi, hicho kikao cha kujadili kuongeza kipato kinaweza kuishia kwenye ugomvi.
 
Sana tu yaani vitu vya nyumbani kama vyakula vinakomba pesa yote.

Anabaki kusubiria mwisho wa mwezi tena,😳 huu si ni utumwa?
Kwani hana bajeti? Je kwa mwezi unatumia kiasi gani?

Binafsi nakushauri kuwa, hayo ni mapito tu, ups and down kwenye ndoa zipo!

Naamini unapokuwa na familia nidhamu ya matumizi inakuwa juu kuliko kuwa single.

Kitu cha msingi ni kuwa na bajeti ya mwezi lakini pia kumuelimisha mwenza wako kuepuka matumizi yasiyo na tija.

Naamini utafika unapo kusudia.
 
Bajeti anapanga mke, maana akianza kumpangia gharama za chakula, kuhudumia mtoto na yeye mwenyewe, jamaa anabakia na pesa ya kuangalia mechi za epl tu vibanda umiza ni shabiki wa arsenal 😳😳😳
 
Nilimshauri awali hakuamini eti laki tisa ni kubwa aiseee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...ngoja ncheke kama mazuri.. hebu mnisaidie nimshauri vipi? 😳😳
1. Atambue kwamba "ukitaka kwenda haraka nenda peke yako ila ukitaka kufika mbali nendeni wengi"

2. Akumbuke kwamba Mwanamke sio ndugu yake, hivo akishindwa kabisa kuhudumia basi huyo mwanamke ataondoka na atamuacha na madeni

3. Mwisho, Hatujui alikotoka na hatujui life style yake na kwao, aende kwa wazazi wake aweke wazi kila kitu wao watamshauri kutokana na
i/ Walivomlea
ii/ wanavomfahamu mke wake
iii/ watamfunua kama kuna changamoto za kiroho

πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…