masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Mkuu natamani kuja huko kuona mambo yalivyo kwenye hiyo secta mwezi wa 12 naomba uwe mwenyeji wanguNjoo huku kanda ya ziwa tuchimbe dhahabu. Pamehila kinoma.
Wewe ni me au ke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu natamani kuja huko kuona mambo yalivyo kwenye hiyo secta mwezi wa 12 naomba uwe mwenyeji wanguNjoo huku kanda ya ziwa tuchimbe dhahabu. Pamehila kinoma.
Uzuri wa kazi za Afya Ni you?Kozi za afya ni nzuri sana..japo kila mtu ana nyota yake..
Asante kaka nitafuata ushauli huu maana katika ualimu nahis kukosa amani kabisa ata furaha ya kazi sinaNiliajiriwa nikiwa Afisa kata wa fani X
Baada ya kufanya Kazi mwaka nikarudi chuo kusoma fani Y (Nilidanganya kwa DED naenda kusoma X ila nikaenda kusoma Y).
Na kibaya/kizuri zaidi nikaunga kabisaa mpaka masters ya Y.
Kurudi kazini (baada ya kutoka chuo) nikawasilisha cheti.
Baada ya miezi kadhaa nikafayiwa recategorization na kwenda kwenye hiyo Idara ya Y, nikafanya Kazi miezi 8 nikapata shavu la KUKAIMU MKUU WA IDARA.
The point is Amoc thefdon unaweza kusoma chochote na kufanya Kazi yoyote.
Ukirudi kazini ukakuta HR anazingua Kuna fursa kibaoo...
1. Kuhamia ofisi nyengine ya serikali (transfer)
2. Kuomba Kazi upya kupitia Ajira.go.tz
#YNWA
Nikweli bro lakin jinsi ya kuingia sasa hko kwenye hizo taasisi ndo kwenyeweWatu wanadhani kuwa ukisomea ualimu basi ni lazima ukafundishe shule ya msingi na sekondari.
Kada ya education ni Pana na taasisi nyingi ndani yake unaweza kufanya kazi kwenye taasisi nyingine za elimu zenye mshahara na posho za Kila wakati.
Kupanga ni kuchagua.
Nnae ndugu angu ypo chimbo mpaka mda huu anaweza kua mwenyeji wakoMkuu natamani kuja huko kuona mambo yalivyo kwenye hiyo secta mwezi wa 12 naomba uwe mwenyeji wangu
Wewe ni me au ke?
Mpwayungu malizia ile stor basi...Mkuu vipi hukupata tena ajira ya ualimu [emoji22]. Kama ulipata hongera ila kama hukupata pole sana najiskia maumivu makali kuliko anaechomwa na moto wa petrol. Umefight sana kiongozi wangu Mungu yupo
Maisha magumu Kila sehemu ujinga wako ndio unafanya maisha kuwa magumuBro kua mtulivu kaka, hamna anaeweza nifukuza kazi kisa nimesema ukweli kua maisha ni magumu, najua ata wew unatambua lkn nashangaa kwanini unakua mkali
Nnae ndugu angu ypo chimbo mpaka mda huu anaweza kua mwenyeji wako
Karibu sana. Chalii ni jinsia ya kiume.Mkuu natamani kuja huko kuona mambo yalivyo kwenye hiyo secta mwezi wa 12 naomba uwe mwenyeji wangu
Wewe ni me au ke?
Kuna taasisi nyingi sana elimu zinatangaza nafasi nza kuhamia huko Kila mwakaWee acha ualimu kasome chochote unachotaka... Ila am sure utamaliza chuo utazurura mtaani na bahasha miaka itaenda utakuja kugundua ulifanya maamuz ya kipuuzi... Nyie vijana acheni kudanganyana, maisha sio rahis kias hiko, sikuhiz Pilot na Engineers wanakosa kazi sembuse wew unaenda kusoma ki kozi chako uchwara... Nakushauri kaongeze elimu kasome Bachelor of Education then Kasome Masters ya kitu kingine hii itakusaidia kuhamia ktk taasisi au wizara nyingine na ndio waalim wengi wamefanikiwa kwa approach hii...
Walimu wa sekondari Ni magwiji wa unafiki na majungu Sana ,,,digrii mmepata lkn akili hamna.Bro alaf waalimu wa msingi nimefuatilia nimegundua Wana maisha mazuri kuliko sisi wa secondary, sijui mchawi wetu nani
Mshikaji nilisoma naye Primary na sekondary, hakupata ufaulu mzuri akaenda Ualim Certificate alifanya kazi kama miaka mitano tu. Akaacha akaenda kusoma diploma ya medicine. Baba yake mzazi alikuwa mchungaji wa Kanisa. Walikuwa na maisha yakawaida sana kama unavyojua kijijini.
MIAKA GANI HIYO MKUU?
Mku hapo kwenye kuomba kazi upya kupitia ajira.go.tz siku hizi ni impossible kwa entry positionNiliajiriwa nikiwa Afisa kata wa fani X
Baada ya kufanya Kazi mwaka nikarudi chuo kusoma fani Y (Nilidanganya kwa DED naenda kusoma X ila nikaenda kusoma Y).
Na kibaya/kizuri zaidi nikaunga kabisaa mpaka masters ya Y.
Kurudi kazini (baada ya kutoka chuo) nikawasilisha cheti.
Baada ya miezi kadhaa nikafayiwa recategorization na kwenda kwenye hiyo Idara ya Y, nikafanya Kazi miezi 8 nikapata shavu la KUKAIMU MKUU WA IDARA.
The point is Amoc thefdon unaweza kusoma chochote na kufanya Kazi yoyote.
Ukirudi kazini ukakuta HR anazingua Kuna fursa kibaoo...
1. Kuhamia ofisi nyengine ya serikali (transfer)
2. Kuomba Kazi upya kupitia Ajira.go.tz
#YNWA
Mimi nimefanya kazi na walimu wa primary na secondary nawajua vzuri... Walimu wa primary wanaamin ualimu ndio maisha yao na chuoni wamejifunza ethics za ualimu na utumish wa umma, kwahio wanapoingia kazini hufanyakaz kwa bidii na kufanya maendeleo kama kujenga nyumba na kufungua miradi mbalimbali.... Shida ya walimu wa Secondary wanajiona wamesoma wana degree na wanaamini wao sio walimu bali wanapita tu kwenda ktk kazi/kada nyingine 😅 kwahio miaka inazidi kwenda wanajikuta hawatoki ktk ualimu na hawana nyumba au miradi, wengi wanaanza kushituka baada ya miaka 10 kupita ndio wanaanza kukubali kwamba wao ni walimu. But sikuhiz wameamka wakiingia kazin wanachangamkia fursa wanajenga na kufanya miradi... All in all kwa Tanzania watumish wenye maendeleo walimu wanaongoza, mwalimu lazima umkute amejenga nyumba na ana mradi unamuingizia pesa, japo ndio kazi inayo dharaulika sana ila ukweli ina mishahara mikubwa...Walimu wa sekondari Ni magwiji wa unafiki na majungu Sana ,,,digrii mmepata lkn akili hamna.
Unawezaje kusoma Phy na bios bila kusoma kemia advance?Mkuu sijasoma chemistry advance naweza pata ? Maana Mimi cheti nilicho nacho ni hiko cha diploma ya physics na biology
Bachelor of science in biology unarudi kuwa mwl . Kasome Bsc Aquaculture au Bsc fisheries Sua au udsm utakuja kunishukuru . Maafisa uvuvi ni wachache Sana. Tafuta wilaya yenye ziwa au baharu ufanyiwe recategirization utakuja kunishukuru. Au nenda kasome masuala ya Procurement and supplies. Watu wa procurement ni wachache walioajiriwa ufanyiwe recategirization uwe procurement officer pia utakuja kunishukuru. Kumbuka unavyoenda kusoma uwe na tricky Kuomba vyuo viwili unapeleka joining instructions ya kwamba unaenda kusoma education. Wewe unaenda kusoma chio kingine ili upewe ruhusaNiende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni mwalimu kiwango cha elimu ni diploma katika masomo ya PHYSICS na BIOLOGY,,,
Baada ya misuko suko ya ualimu ikiwa ni pamoja na kupigwa na maisha vizuri tu,
Nimekaa na kuamua kurudi shule kusoma / kujiendeleza kielimu.
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu naweza soma course gani nje ya ualimu ambayo itakua na tija kidogo kwa taifa letu (ualimu siutaki tena Mimi nimechoka),
Sifa ni diploma ya ualimu wa sayansi katika masomo niliyo taja (PHYSICS na BIOLOGY).
Japo kuna watu wamenishauli kwa chet changu hicho cha diploma nikasomee bacherol of science in PHYSICS or bacherol of science in BIOLOGY .
Naombeni ushauri jamani ualimu umenishinda nimeinua mikono juu....
NAWASILISHA.