Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

Ingependeza ukaweka full detail ya matumiz yako ya pombe mfano pombe gani unatumia, kwa siku unakunywa kiasi gani, mahali, unapendelea kunywa peke yako au na marafiki ukifunguka zaidi naamin watu watapata pa kuanzia na utaweza kushauriwa na kusaidiwa
 
Nachoweza kukushauri ipe nguvu hiyo sauti inayokufanya utamani kuacha pombe unajua mtu ukishaanza kufikiria kuacha kitu kuna mambo ume ya tathimin nakuona yanakutia hasara au yanakuathiri kwa namna nyingine hivyo ukifikia level hiyo kwako ni bora kujilazimisha kuacha mapema maana hiyo inaweza kuwa ndo "wakeup call" ukipuuza itakuja kula kwako
 
Hello JF

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia abc za namna ya kuacha unywaji wa pombe anisaidie tafadhali maana kila nikijaribu nakaa siku mbili narudia...
Inategemeana na aina ya pombe unazokunywa,kama ni bia anza kupunguza idadi ya chupa unazokunywa taratibu kama huwa unakunywa 10 anza na 9 au 8 then punguza safari za bar unaeza nywea hata home sometimes,punguza marafiki ambao muda mwingi mkiwa pamoja mnaongelea pombe,tafuta vitu vingine vya kufanya kujinyima muda wa kuwa free,jiweke karibu zaidi na familia
 
Back
Top Bottom