Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

Tatizo langu mimi sihitaji na sina kampani ila nikianza kunywa na kunywa nyingi na nazimudu ila zinaniharibia utaratibu hata kama pesa ipo kwenye cm nitaitoa tu kesho naanza kujilani na kujilaumu sana sijawahi kuwa na hamu ya pombe na wala sinywi kila siku ila siku ya kunywa ni hasara tu
Sasa mkuu jitahidi ujicontrol matumizi na uwe mtu wa kiasi.
Ukitoka home weka mfukoni fixed amount. Kama ni hela ya bia4 na nyama nusu kilo basi inatosha.

Sio lazima ukinywa mpaka ulewe. Kivumbi hutokea pale utakapolewa ndo chanzo cha kufuja hela hadi zilizopo kwenye simu.

Pombe sio lazima kiongozi tujitahidi tuachane nazo.
 
Back
Top Bottom