Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Dah! Umeongea point lakini kuna vitu vinakela sana sometimes hata kama siyo mshirikina au msaliti.Kama mkeo ni mshirikina au ni msaliti huna budi kumuacha lakini hana tabia hizo basi usimuache
We binti kuwa na huruma basi.....maisha ule na nani uje utulaze wenzio kwenye mkeka?
kama ni kulala kwa mkeka si bora nilale kwangu tu jamani labda aje kulala kwanguWe binti kuwa na huruma basi.....
hahahahahahahahamaisha ule na nani uje utulaze wenzio kwenye mkeka?