Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa hizi utakiwa na 44 ivi,Mimi ni mtu wa umbo la wastani, niliyebahatika kuishi na mwanamke kijumba na kufanikiwa kupata watoto 2, nimebahatika kujenga nae kibanda na kuwa na kausafiri ka familia.
Kwa visa vya mama huyu na kwa hiyari ya moyo wangu naamua kumwachia vitu vyote na ninaanza upya, mke mpya na kila kitu upya. Naanza kwa kukodi chumba kimoja, kitanda sina, nitalalia mkeka kama ishara ya mwanzo mpya.
Karibuni wachumba wacha Mungu,umri kuanzia 28-32 yrs/Am 40.
Nimekuelewa sanaAcha mwanamke aitwe mwanamke tu, kuoa ni kubahatisha sana wengi wa wadada siyo wazuri katika kuishi maisha ya ndoa au ya wawili. Mara nyingi huprentend ukiwa bado hujaamua kuishi nao.
Nakushauri achana naye acha kutesa moyo wako.