Nataka kuanza maisha upya baada ya kukosea kuoa

Nataka kuanza maisha upya baada ya kukosea kuoa

Acha mwanamke aitwe mwanamke tu, kuoa ni kubahatisha sana wengi wa wadada siyo wazuri katika kuishi maisha ya ndoa au ya wawili. Mara nyingi huprentend ukiwa bado hujaamua kuishi nao.

Nakushauri achana naye acha kutesa moyo wako.
We umeshaachana nao wangapi
 
Lol! Umeniacha hoi!!! Kwa matangazo hayo utawaachia sana wanawake nyumba.
Ungekaa tu na mwenzio mvumiliane. Unadhani waliodumu kwenye ndoa zao hawana mikwaruzo?
 
Mkuu.. Kakufanyia visa gani? Weka hapa maswahibu aliyokufanyia huenda tukakushauri ukapara utatuzi...
Jamaa ahitaji kushauriwa, tayari amesha fanya maamuzi ya kiumeni.
Well done mleta uzi...[emoji123]
 
Wanawake, why , why why?

Mnatufanyia hivi wanaume, angalia huyu mwenzangu ana 40 age, lakini anaanza maisha kama ana 16?
 
Acha mwanamke aitwe mwanamke tu, kuoa ni kubahatisha sana wengi wa wadada siyo wazuri katika kuishi maisha ya ndoa au ya wawili. Mara nyingi huprentend ukiwa bado hujaamua kuishi nao.

Nakushauri achana naye acha kutesa moyo wako.
Huu ndio ushauri bora kabisa, hasa kwa sisi ambao yalisha tukuta aiseeee
 
ungekuwa umeweka na chanzo cha tatizo lenu nafikili wadau wangepata mwanga zaidi wa kukushauli
 
Afu tatizo linaweza kuwa liko kwake ya anahisi mwanamke ndo anakosea!!
Na wengi wamekuwa wakikimbilia Tatizo bila kuangalia nini kimesababisha.,na Chanzo ni nn..?,anaanza kuhukumu.
 
Back
Top Bottom