Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #41
hapa napata kipimo kizuri,who will suit me because I had start life from 'o'
which lady is ready to starts from 'o'./!?.
which lady is ready to starts from 'o'./!?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamme kamili hawezi kimbia familia yake, migondano ni ya kawaida katika familia. samehe na sahau yaliyopita, rudi kwa familia yako. Uzinzi hautakusaidia kitu maishani zaidi ya kukuacha na maradhi yasiyo na tiba.Mimi ni mtu wa umbo la wastani,niliyebahatika kuishi na mwanamke kijumba na kufanikiwa kupata Watoto 2, Nimebahatika kujenga nae kibanda,na kuwa na kausafiri ka familia /.
kwa visa vya mama huyu,na kwa hiyari ya moyo wangu.
NAAMUA KUMWACHIA VITU VYOTE,NA NINAANZA UPYA,MKE MPYA NA KILA KITU UPYA.
NAANZA KWA KUKODI CHUMBA KIMOJA,KITANDA SINA,NITALALIA MKEKA KAMA ISHARA YA MWANZO MPYA.
KARIBUNI WACHUMBA WACHA MUNGU 28-32 YRS./
AM 40.
Oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, toa namba vidume vyenzako vikafaidia papuchi, gari na nyumba uliyoikimbia.Fanya hima mkuu unipatie number za mkeo kama utamuachia nyumba na gari niwe najituliza hapo!
Mimi nadhani utulize akili kwanza...safiri hata kwa week mbili...kama unafanya kazi omba likizo ya week 2, kafanye kutafakari kwa kina...katika kipindi hiki jiulize mambo mengi ikiwemo utakavyowasaidia watoto wako kukua katika misingi uliyotamani wakue.hapa napata kipimo kizuri,who will suit me because I had start life from 'o'
which lady is ready to starts from 'o'./!?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]maisha ule na nani uje utulaze wenzio kwenye mkeka?
njoo ila nunua godoro mkeka tutavunjika migongohapa napata kipimo kizuri,who will suit me because I had start life from 'o'
which lady is ready to starts from 'o'./!?.
kuachana kupo wewe sio wa kwanza wala wa mwisho--kwa nini wengi huachana na wake zao?,tunao hata viongozi wakubwa na wenye nyadhfa serekalini na hata wafanya biashara wakubwa!.
....ask / je wanakosea?
Ooh I see!! basi ungeleta mlinganyo...Two cases with similarities tudadavue naimani ndo utakuwa mweleko mzuri wa kupata concrete conclusion.--kwa nini wengi huachana na wake zao?,tunao hata viongozi wakubwa na wenye nyadhfa serekalini na hata wafanya biashara wakubwa!.
....ask / je wanakosea?