Nataka kuanza maisha upya baada ya kukosea kuoa

Saa hizi utakiwa na 44 ivi,
Tupe mrejesho wa maisha mapya
 
Acha mwanamke aitwe mwanamke tu, kuoa ni kubahatisha sana wengi wa wadada siyo wazuri katika kuishi maisha ya ndoa au ya wawili. Mara nyingi huprentend ukiwa bado hujaamua kuishi nao.

Nakushauri achana naye acha kutesa moyo wako.
Nimekuelewa sana
 
Elezea kwa kirefu upate kusaidiwa isijekuwa wewe ndiyo una matatizo.
 
Msisemage hivyo
Mnafanya wengine tuogope wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…