AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Andaa kibunda cha kutosha ufugaji unaanza na maandalizi yaan kabla hujaanza chochote fanya mipango mikakati ya maandalizi ya mazingira ya sehemu yako utakapo fuga na hapa hela inatumika sio kidogo ni ndefu, ukikosea hapo ukaingia kichwa kichwa the rest is history utawasimulia waliokwambia kufuga ni rahisiKila la kheri,mimi nataka kuanza mwaka kesho...