Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Hii nataka nataka....nita nita....inapoteza muda fanya jambo bro, ukija hapa ni shuhuda.
Kwa sisi watumishi wa Mungu wenye macho ya rohoni, ukiwa na jambo lako zuri ukaanza kulitangaza tangaza linaattract negative energy, possibility ya kufanikiwa inapungua sana.
Kila laheri