Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo

Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo

Nimekuelewa mkuu. Sitaki kuuza nilicho nacho; nataka kutumia nilichonacho kuanza kujenga.
Mwanangu unaonekana una akili ndogo sana, jaribu kukua kidogo halafu jifunze kwa waliokutangulia itakusaidia sana kabla hujaingia kufanya jambo lolote lile kutana na waliokutangulia waulize wamefikaje walipofika kisha watakupa ABC zao then ishi nazo
 
Andaa kibunda cha kutosha ufugaji unaanza na maandalizi yaan kabla hujaanza chochote fanya mipango mikakati ya maandalizi ya mazingira ya sehemu yako utakapo fuga na hapa hela inatumika sio kidogo ni ndefu, ukikosea hapo ukaingia kichwa kichwa the rest is history utawasimulia waliokwambia kufuga ni rahisi
Vipi Boss.

Kwa Uzoefu Uliokuwa nao, inachukua mtaji kiasi gani kufuga Kuku wa mayai mia tano (500) kufikia hatua ya Kutaga?
 
Nina miaka 30 mkuu, hakuna tatizo. Kuna changamoto binafsi ninazopitia kwa sasa ndiyo maana nimeona niombe msaada wa kuanzia, si kwa sababu sitaki kupambana. Nikipata nafasi hiyo, nitaitumia kuanza na kujisimamia mwenyewe. Naomba unisaidie kwa heshima na kwa moyo wa upendo kama utaona inawezekana, nitashukuru sana na sitachukulia msaada huo kwa mzaha.
We ni mlemavu?
 
Back
Top Bottom