Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Nna wasi wasi na hii id yako huwezi kujitilisha huruma hivi! Ungekuwa mlemavu hata mimi ningekupambania upate, ila kwasababu zako binafsi hutaki kujisogeza hata vibarua unataka kupewa pesa ya vifaranga 10 utasubiri sana!Hapana mkuu, si mlemavu. Kila mtu ana changamoto zake, muhimu ni namna anavyopambana nazo.
Yote kheri 🙏Ngoja na wengine wamnyooshe kidogo, tusijeonekana tunambania rizki!😐
Papi hebu msaidie mdogo wako kwenye hii id anatia huruma sana secretarybirdYote kheri 🙏
Ndio mkuu, nimekupata. Hapo nitaanza kidogo kwanza, nikiona mwitikio mzuri naongeza taratibu. Mdo mdo ndiyo mwendo.Anza na 50.
10 labda chotara WA kuwakuza wiki 2-3 then unawafuga kienyeji
Nimekupata mkuu 😊 Asante sana kwa ushauri na concern yako. Nimeuchukua vizuri, nitajitahidi kusimama kwenye miguu yangu na kusukuma mambo yangu taratibu. 🙏Nna wasi wasi na hii id yako huwezi kujitilisha huruma hivi! Ungekuwa mlemavu hata mimi ningekupambania upate, ila kwasababu zako binafsi hutaki kujisogeza hata vibarua unataka kupewa pesa ya vifaranga 10 utasubiri sana!
KaribuNgoja na wengine wamnyooshe kidogo, tusijeonekana tunambania rizki!😐
We ni AI? Au unajikaza hasira utamalizia kwa id yako pendwa🙄Nimekupata mkuu 😊 Asante sana kwa ushauri na concern yako. Nimeuchukua vizuri, nitajitahidi kusimama kwenye miguu yangu na kusukuma mambo yangu taratibu. 🙏
Tayarii!Karibu
Maziwa mtindi,
Mtindi mtindi
Wa barrriiiiid
Ng''ombe wa kienyeji
Wa barrriiiiid
Kwa elfu moja
Karrrrrrribu
Wa barrriiiiid 😂Tayarii!
Aisee huyu ni mdogo wangu. Mimi kama Mzee wa kanisa nitamuombea tu ili apate wa kumsaidia.Papi hebu msaidie mdogo wako kwenye hii id anatia huruma sana secretarybird
😄 Hasira sina, hoja ndiyo nimeisimamia. Kuhusu ID yangu, bado iko salama kabisa mkuu.We ni AI? Au unajikaza hasira utamalizia kwa id yako pendwa🙄
Hebu toa chochote kijana apumzike kesho kuanzisha nyuzi nyingine papi🙄Aisee huyu ni mdogo wangu. Mimi kama Mzee wa kanisa nitamuombea tu ili apate wa kumsaidia.
Usije kunimalizia hasira zako za huku kwenye ile id yako nyingine🙄😄 Hasira sina, hoja ndiyo nimeisimamia. Kuhusu ID yangu, bado iko salama kabisa mkuu.
Aje kwanza hapa kanisani atoe sadaka.Hebu toa chochote kijana apumzike kesho kuanzisha nyuzi nyingine papi🙄
😳🙏😳🙏Usije kunimalizia hasira zako za huku kwenye ile id yako nyingine🙄
Hana!Aje kwanza hapa kanisani atoe sadaka.
Hana sadaka? Kivipi yaani!Hana!