Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo

Mkuu pambana uongeze hiyo capital uanze na atleast 40-50 na uwe serious kwelikweli. Sasa ukianza na hao kumi bado hawajafa kadhaa utabakiwa na nini Biashara kichaa hiyo labda kama unafanya for leasure! Nyumbani tuliwahi fuga broiler wa nyama kama 80-100 kuna msimu Ugonjwa ukapita nao Salalee tulikuwa tunagawa kwa majirani maana unakuta umeamka asubuhi unakuta robo ya banda chali wengine wanasinzia na ukiwaacha mpaka kesho yake hawatoboi. Wewe kama unataka kufanya poultry agriculture Jifunze kwenye vitabu ujue magonjwa yao tiba nk ndio uanze kufuga. Ni biashara nzuri ukiwa na soko. Unakula kuku karibia kila siku 😂😂
 
Nimekupata mkuu, asante sana kwa ushauri. Nitakwenda kuchukua kijijini kwa bei ndogo, naamini kwa hiyo 50K nitapata zaidi ya hao 10. Ushauri wako nimeupokea vizuri sana 🙏
 
Hujaelewa comment yake, wanawake wa mjini wale Wazuri Wazuri wanapata hela nyingi za kupewa na matajiri haya y serikali Kuu, lakini huwa hawafiki popote kwa sababu ni za kupewa
Easy come easy go mkuu hili ni kweli kabisa. Pesa ambayo hujaipambania kuipata hata matumizi yake huwa si ya msingi sana.
 
Nilitaka kusema ivo auze simu yake au kitu ambacho kina thamqn na hela anayohitaji

Pesa haitolew ovyo bila kuifanyiq kaz
pesa ngumu sana na hiyo ya kusaidiwa huwa haikai aingie mtaani vibarua vipo akiwa siriazi atapata zaidi ya hiyo 50K
 
Wazo ni zuri lakini wewe mwenyewe ni mpumbavu! Yaani umekalisha ma nanihii yako hapo unasubiri mtu aje akuwezeshe elfu 50? Hebu kuwa na aibu mtoto wa kiume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…