Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

Mawazo unaomba jf huo umishonari ni wa ki jf?

Kama wewe mkristo omba mawazo kwa Kristo acha ujinga
Asante kwa maoni.
Musa mtu wa Mungu alipewa mawazo na Yethro mpagani. Na Mungu akamwambia afuate huo ushauri wa myu asiyemuisrael.

Mkuu jf inawatu wenye hekima sana. Mimi siwapuuzi hata wakinipuuza.
 
We jamaa unachekesha sana. Unachukua soda kutoka Mlandizi unapeleka kuziuza Dar. Unachukua Ndizi kutoka mahakama ya Ndizi unapeleka Kagera. Unachukua Sangara kutoka Dar unapeleka kuuza Mwanza. Nakutakia Kila la kheri mkuu
 
Wewe nae huenda ndio wale wale tu,ungekua huna double standard ungeona hilo la udini kwa mleta thd na sio kwangu.
Uelewa tu. Hujui uarabuni kote kumejaa wakristo wa siri. Cryptochristians.
Ila nakushukuru kwa michango.
 
We jamaa unachekesha sana. Unachukua soda kutoka Mlandizi unapeleka kuziuza Dar. Unachukua Ndizi kutoka mahakama ya Ndizi unapeleka Kagera. Unachukua Sangara kutoka Dar unapeleka kuuza Mwanza. Nakutakia Kila la kheri mkuu
Ukipanga nchi kwa viwango vya uovu. Ulaya na us hawakosi top tatu.

Ndio maana Mungu alimwambia Yona aende ninawi. Ninawi ilikuwa ni kama Us. Hivi. Waliwahi kutubu huko nyuma wakasamehewa walikuwa wanajua kitambo sana mambo ya Mungu.
 
Asante kwa maoni.
Musa mtu wa Mungu alipewa mawazo na Yethro mpagani. Na Mungu akamwambia afuate huo ushauri wa myu asiyemuisrael.

Mkuu jf inawatu wenye hekima sana. Mimi siwapuuzi hata wakinipuuza.
Wewe wito wako ni pesa, kiri hili kwanza😂😂
 
Uelewa tu. Hujui uarabuni kote kumejaa wakristo wa siri. Cryptochristians.
Ila nakushukuru kwa michango.
Ndio maana nakwambia tembea uone na uache mambo ya kusikia,hivi nchi itakua na Jengo la Kanisa halafu kuwe na wakristo wa siri? ina ingia akilini hii kweli? na kwanini iwe kwa siri? kwa kuogopa nini?
 
Wewe wito wako ni oesa, kiri hili kwanza😂😂
Oesa maana yake nini mkuu. Nipe madini hapo kwanza.

Ila hawa wazungu tusiwaache, dawa yao ni sisi. Waafrika wameshaelewa ndio maana wameanzs kugeuza makanisa vyanzo vya mapato na ajira.
 
Umeongea ukweli mkuu, mwambie huyo muongo na limbukeni.
 
hapeleki dini bali wokovu ulio katika Kristo Yesu Bwana.

Yesu ni Bwana na Mwokozi
Mtumishi unafungu lake.
Wokovu mbona aneshaleta.
Sisi tunasajili tu wanaoupokea ambao walikuwa hawajui wawe raia wa ufalme bora na salama kabisa kimwli na kiroho wakati tunamsubiri aje arekebishe mambo mara ya pili.
 
Utakuwa na kiongozi gani wa dini ili kiwathibitshia huyo ndo aliyetumwa na MUNGU, au utawatumia hawahawa wakwetu??
 
watu hawajui kuwa uKristo sio dini. uKristo ni maisha yanayotambulisha Kristo. Yesu hakuja kuleta dini duniani bali alikuja kutafuta na kuwaokoa wale waliopotea. (mmojawapo ni mimi). Hivyo Yesu alileta WOKOVU, kwamba watu waokoke, wapate uzima wa milele kupitia kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao.

JESUS IS LORD
 
Utakuwa na kiongozi gani wa dini ili kiwathibitshia huyo ndo aliyetumwa na MUNGU, au utawatumia hawahawa wakwetu??
Kiongozi ni Mungu tu ambaye alimpa Yesu mamlaka yote Mbinguni na duniani. Mimi nitakuwa partner wa Yesu kuwaarika hawa jamaa waache ujinga wa kuabudu akili, teknolojia na ujinga mwingi waliojitungia na umewafanya wazungu kuwa viumbe dhaifu na hopeless kabisa. Lazima tuwasaidie hawa jamaa mkuu.
 
mleta Uzi wazo hilo ulilo nalo ni la ki Mungu kabisa. kuna wazungu mara nyingi wafikapo kanisani kwetu huwa wanatuomba twende kule kwao tuwapelekee Injili, wengi wamepotea.

waafrika ni masikini wa vitu, Ila tuna utajiri mkubwa rohoni, Mungu ametusaidia sana kwa kweli. tuko vizuri kwenye Imani. tunajua kabisa duniani hapa sio nyumbani kwetu, maisha ya hapa ni mafupi, hivyo tunapaswa kufuatilia yale maisha ya milele pamoja na Bwana Yesu.

YESU ANAOKOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…