Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

Unachanganya roman catholicism na ukristo. Drivers wa hawa jamaa hasa wale wa zamani ilikuwa ni greek mythology. Hizo ndio zilikuwa na ushawishi kuliko Kristo mwenyewe. Ndio maana sanamu nyingi unazoziona sio za Yesu wala Maria au mitume ni miungu ya kigiriki. Wakina Diana, Apollo etc.

Na hawa ndio walichangia kuwafanya wazungu wengi wawe kama sasa hawajui kitu. Waliwazuia kusoma maandiko, waliwalazimisha dini kwa chuma kupitia serikali. Walifanya nafasi yao kwa ufahamu wao inabidi twende waafrika tukawarudishie matumaini wazungu. Ukiwafuatilia kimsingi ni watu waliokata tamaa na maisha wanajiishia tu kama wanyama.
Bila warumi ukristo haupo hao wagiriki walikuwa na miungu yao na dini zao ni sawa na wamisri na ukristo hauja komba tu mambo kutoka dini za kale za ugiriki pia imekomba kutoka dini za kale za misri hata mafundisho mengi ya dini ya kiyahudi yapo ndani ya Ukristo.

Unazungumzia kuhusu miungu ya wagiriki unasahau kuhusu miungu ya warumi na hawa warumi ndio walio ibeba na kuifanya kuwa dini ya serikali na kulazimisha watu ulaya na sehemu duniani na kanisa lililo play hiyo role ni Catholic church wana shutuma nyingi za mauaji ya watu kuhusu kusambaza Ukristo na ndio walio amuru crusade wars kupitia kwa papa wao dhidi ya dini nyingine za asili ulaya na dhidi ya uyahudi na uislam middle east.

Ukizungumzia ukristo rumi haupaswi kuiweka mbali, Ethiopia nayo.
 
Ni sahihi.
Kwa Maandiko na historia. Ukristo sio uroma au Ukatholic. Alianza Kristo, akapata wafuasi wake 12, 70,120 hadi 500 ambao walikuwa wayahudi. Akawapa agizo la kusambaa dunia nzima. Agano jipya limeelezea safari za kuelekea ulaya zaidi. Ila wengine walienda hadi karibu na china, wengine india (Tomaso). Ndio maana Kuna mchina Mkristo aliwahi kupita Afganstan (kandahari) hadi ulaya, wazungu wakashangaa maana waliamini wao ndio wakristo. Na huu uongo na propaganda ndio wengi wamelishwa.

Huko ulaya, hasa Rumi ukabakwa na makaisali na kuutumia kama dini ya dola au kwa sasa dini dola. Dola ilipoyumba Dini ikatumia dola kujitandaza ulaya nzima ikitiisha hadi wakuu wa nchi.

Sasa hii distorted version ya ukristo wa rumi ndio umekaa akilini mwa wazungu, na wengi wa wabongo wakiopotoshwa na wazungu. Lakini ukweli Ukristo ni Connection ya moja kwa Moja na Mungu kupitia Kristo. Unakuwa mtoto wa ufalme wa Mungu. Unahudumiwa na serikali ya Mungu moja kwa moja bila kupitia kwa kiongozi wa dini. Hii kitu walifaidi wazungu wa enzi za paulo huko efeso.

Tunaangalia namna ya kurudi na kuwasaidia hawa wajumbe. Maana mateso ya ukristo potofu wa shurti umepelekea wawe matheists.
 
Vitabu vyote vya maandiko wanavyo hao hao warumi wazungu unaotaka kuenda kuwahubiri hayo maandiko nusu uliyo nayo wakati wenzako wanayo zaidi yako unasafari ndefu sana kwenda kuwapa kitu kipya.

Ndio maana nika kuambia hakuna kitu kipya utaenda kuwapa hao wazungu kuhusu ukristo labda wewe wakupe vitu vipya kuhusu ukristo ambavyo mababu zako hawakupewa na wao.

Haya swali hili:
Unaenda kuwafundisha ukristo kupitia Biblia gani na yenye vitabu vingapi ?

(Zingatia Biblia(neno) ndio msingi wa Ukristo)
 
Inaonekana ililetwa na kikundi cha jamaa wachache tu. Waliwaacha wenzao karibu asilimia 90 bila kujua kitu.

Pia wengi waliokuja walikuwa ni mamafia wa kidini, kulainisha njia kwa mabeberu wachache wakina Carl Peters waje wapige madili huku.

Afrika mkuu ni sehemu bora kabisa mwanadamu anapaswa kuishi. Siwezi kupakimbia. Huko kama sio kuwapelekea Injili basi kwenda kutalii tu.
Carl Peters na yule jamaa zake walikua watata sana miaka ya 1884/5 wao wanafikiri kuligawa bara la Afrika wakati hii 2023 Tanzania bado tuna tatizo la Umeme enzi hizo wakina Dr Livingstone na Columbus washaizunguka Dunia yote na kujua wapi pana nini na wapi hakuna aisee...
 
Ila ukristo ni nini kama sio dini ? Na dini ni nini ?
dini ni set of beliefs. ni mipango ya wanadamu katika kujaribu kumtafuta Mungu au miungu.

uKristo ni maisha yanayomdhihirisha Kristo. mtu mKristo ni yule mwenye Kristo ndani yake. Yesu hakuja duniani kuleta dini iitwayo uKristo. Bwana Yesu alikuja kutafuta na kuwaokoa wale waliopotea. Bwana Yesu alileta WOKOVU. baada ya mtu kuokolewa, analelewa kanisani.

"Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa" MATENDO YA MITUME 2:47b

mtu aliyeokolewa anapoungana na mwingine aliyeokolewa wanakuwa Kanisa, Hawa ndio waKristo. Hawatengenezi dini, bali wanakuwa Kanisa. watu walioitwa na Mungu kwa kusudi la Mungu.
 
Hii tafsiri ni ya kwako peke yako
 
Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana.
Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu.

Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao.

Nimefikilia hawa wazungu kabla hawajapotea niwapelekee umishonari, niwe na kikosi kazi cha waafrika wachapakazi, Masponsor ni sadaka za waafrika Matajiri na masikini.

Naombeni mawazo jinsi ya kuwapata hawa jamaa kirahisi huko makwao na kwenye mitandao. Kwa sasa ninayo app inayoweza kutengeneza autosubtitles kwa karibu lugha za wazungu wote.
Somalia na North Korea ndio kunafaa upeleke Umisionari
 
Huko kuna ministries nyingi zinawafikia.
Mfano north korea kwanza Prongyang kulikuwa na kanisa miaka ya 1900s. Huu uhuni wa kuzuia ukristo wameanza hivi karibuni.

Kuna watu wengi wameingia kimyakimya kutoka skorea wanawapa elimu. Kuna baloons zenye vipeperushi vya dini huwa zinarushwa kimyakimya hadi huko ndani. SOMALIA napo na uarabuni ni pepesi sana, online platform inawafikia hadi uvunguni.

Ila hawa wazungu ni tabaka lililowazi alafu limesahaulika.
 
Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana.
Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu.

Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao.

Nimefikilia hawa wazungu kabla hawajapotea niwapelekee umishonari, niwe na kikosi kazi cha waafrika wachapakazi, Masponsor ni sadaka za waafrika Matajiri na masikini.

Naombeni mawazo jinsi ya kuwapata hawa jamaa kirahisi huko makwao na kwenye mitandao. Kwa sasa ninayo app inayoweza kutengeneza autosubtitles kwa karibu lugha za wazungu wote.
Peleke dini za mababu wa Afrika, angalau wanaweza kukusikiliza.
Achana dini ambazo asili yake ni huko kwao
 
Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana.
Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu.

Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao.

Nimefikilia hawa wazungu kabla hawajapotea niwapelekee umishonari, niwe na kikosi kazi cha waafrika wachapakazi, Masponsor ni sadaka za waafrika Matajiri na masikini.

Naombeni mawazo jinsi ya kuwapata hawa jamaa kirahisi huko makwao na kwenye mitandao. Kwa sasa ninayo app inayoweza kutengeneza autosubtitles kwa karibu lugha za wazungu wote.
Umeshachelewa wa-Afrika wenzio wameshagundua mito ,maziwa na milima ya huko kisha ukipa majina kwa lugha za kikwao. Ebu Watafute kwanza usijikute kwenye bifu nao😀
 
Hivi wewe jamaa una matatizo gani? au ndio ukikosa cha kuandika unajiandikia tu ili mradi uwe umeanzisha Thd?
Huo utafiti wako umeufanya lini kua kwenye hizo nchi za Uarabuni na china kua wakristo wanaingia misikitini na kuswali kwa usalama wao?

Usalama upi? Dubai yapo Makanisa na wanaabudu,Misri yapo makanisa,Kuwait,Qatar,Oman,Lebanon,Iraq,Syria....huko kote yapo Makanisa na wakristo wanaabudu kwa amani tu,

Umekaa hapo chini ya mti na Bodaboda wenzako mnadanganyana kua nchi za waarabu au china ukiwa mkristo inakua hakuna usalama kwako? huu ujinga na uzushi utawatoka lini?
Amani hakuna kama mtu kala kitimoto wake akasema bismillah tayar kahukumiwa kifo wakati lugha yake nikiarabu nayeye nimkristo sasa angesemaje
 
Nenda kaoshe vyombo jikoni hujui kinachojadiliwa hapa,

Kwahiyo wale waislamu waliouawa Central Africa utaihukumu Africa yote? Kila nchi akiuawa muislamu utailaumu jamii nzima?

Mnawakata viungo albino wakiwa hai,so hapo tuilaumu nchi nzima? Mnaua vikongwe kwa imani za kishirikina,hapo tuilaumu nchi yote?
 
Hii tafsiri ni ya kwako peke yako
jina "waKristo" lilianza kutumika pale Antiokia baada ya watu kuwaona wanafunzi wa Yesu wakiwa wanamfanana Kristo ki-mwenendo, ndipo wakawaita waKristo. MATENDO YA MITUME 11:26 c
 
“hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.”
— Matendo ya Mitume 11:26 (Biblia Takatifu)
 
Ukifuatilia mazungumzo yote kuhusu dini na imani fulani utagundua kabsa dini na imani ni kirusi cha kuvuruga aman na utulivu duniani.
 
Nilisha wahi shika dini sana ila nilipochimba zaidi mambo mengi kuhusu hizi imani niliziacha haraka sana .
 
Back
Top Bottom