Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Bila warumi ukristo haupo hao wagiriki walikuwa na miungu yao na dini zao ni sawa na wamisri na ukristo hauja komba tu mambo kutoka dini za kale za ugiriki pia imekomba kutoka dini za kale za misri hata mafundisho mengi ya dini ya kiyahudi yapo ndani ya Ukristo.Unachanganya roman catholicism na ukristo. Drivers wa hawa jamaa hasa wale wa zamani ilikuwa ni greek mythology. Hizo ndio zilikuwa na ushawishi kuliko Kristo mwenyewe. Ndio maana sanamu nyingi unazoziona sio za Yesu wala Maria au mitume ni miungu ya kigiriki. Wakina Diana, Apollo etc.
Na hawa ndio walichangia kuwafanya wazungu wengi wawe kama sasa hawajui kitu. Waliwazuia kusoma maandiko, waliwalazimisha dini kwa chuma kupitia serikali. Walifanya nafasi yao kwa ufahamu wao inabidi twende waafrika tukawarudishie matumaini wazungu. Ukiwafuatilia kimsingi ni watu waliokata tamaa na maisha wanajiishia tu kama wanyama.
Unazungumzia kuhusu miungu ya wagiriki unasahau kuhusu miungu ya warumi na hawa warumi ndio walio ibeba na kuifanya kuwa dini ya serikali na kulazimisha watu ulaya na sehemu duniani na kanisa lililo play hiyo role ni Catholic church wana shutuma nyingi za mauaji ya watu kuhusu kusambaza Ukristo na ndio walio amuru crusade wars kupitia kwa papa wao dhidi ya dini nyingine za asili ulaya na dhidi ya uyahudi na uislam middle east.
Ukizungumzia ukristo rumi haupaswi kuiweka mbali, Ethiopia nayo.