Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Ukishaachika ndo utajua alikuwa na thamani ipi kwako? We uliolewa ili usifiwe na mmeo? Na kama he is not caring iweje udumu nae miaka 8?
 
you see here you are talking,nakuja mpenzi kuna kitu nafanya
 
Hakuna cha ajabu!

Kwanza mimi wake za watu wananipendaga...

Na mimi nawapendaga kwa sababu hawanaga usumbufu kivile.

Wakijaga nawatafunaga tu maana hakunaga namna.
mwambie huyo tena mie nimekula mke wa mtu mmoja tu na ela kubwa sana akiniomba ni buku mbili
 
Mhhhhhh mama acha usijaribu kabisaaa!!! Shetani amekusimamia mkemee! Sio kitu kizuri...utashusha thamani yako kwa mume wako akijakugundua! Utakosa furaha daima
 
Hapa nimekuelewa. Pole kwa masahibu unayokutana nayo kwa mumeo. Yawezekana huyo uliyemzimia yupo kama mumeo. Yawezekana wapo wanaomtamani mumeo kwa kumuona yupo cool, kumbe we ndo waujua undani. Huyo ulomwelewa kwa mambo yake ya nje, mkewe ndo anajua undani wake. Watu wa aina hiyo hata kwetu wapo. Usitegeke. Kuliko ujute, tulia na mumeo
 
Hataki kunipa talaka - JamiiForums

Kabla ya kurejea kwenye hoja, naomba nikukumbushe.
Bilashaka ulisha mchoka mumeo...tehteehh
 
mama K hapana achana na hayo mambo kabisaaaa, tena unasema hapo mtaani nakushauri kabisa usichepuke naye yaani mtaa mzima watajua mambo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…