Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Unamfanya nini mpaka anakuwa na kisirani? Anakugegeda Mara ngapi kwa week?

Nothing, I mean nothing, naona ni tabia tu...na kuna mchepuko umemkamata huko nje.
Hapo sex per week ni story nyingine shost
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
kama ushakaa na mmeo mwaka wa nane huu ...he is a goood husband..kamatiaa huyo huyoo ...usije anza chepukaa ukajilete a matatzo mengine ambayo hayakuwepoo
 
Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
kwa coment hii hapa nadiriki kusema tunapoteza muda kukushauri hapa wew hushauriki kamwe nenda katombe.she tu huko nje
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri

KAMA umeolewa tulia tu.. au mmeo hana Ujuzi tena?
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Njoo pm nikushauri vizuri
 
Back
Top Bottom