Kinga ya nini wakati tatizo ameshalitambua lakini hataki kukubali ukweli?Umeweka kinga hapo?
Kwanini ulifunga huo mgahawaMchawi bei Tu hapo mkuu , maswala ya uchawi usijarbu kuamini mkuu utateseka Sana , Acha akili ifanye kazi , akili ikikuambia kwamba hili ni tatizo basi lifanyie kazi , usiidharau akili ukakimbilia maswala ya cheap solution za waganga utakuwa confused...hyo biashara nishawahi fanya na nilifukuza Wafanyakazi wote wa kike , nikabakiza mmoja tuu binti bandidu Yule anapiga kazi kisawa sawa , wengine wote wa kiume...
Ule mtaa walinikubali mpak Leo nikipita huwa wanataka nifungue tena mgahawa , kitu kingine kama unaona kushusha bei ili uendane na wala Hoi wa hapo mtaani ni miyeyusho basi lenga kundi Fulani Tu la wateja , kuna wateja wao wanataka huduma Bora tuu , haijalishi mtoa huduma ni Nani wao hawajali , hao ndo uwatengeneze , itachukua mda Ila utawapata
Punguza kipimo.Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya kupika nlikua nazunguka kuchukua oder.
Usafi nilizingatia sana ila suala ambalo lilikuja kuniangusha nahisi ni kwenye bei maana chakula tulikua tunauza 1500/= ndiyo bei za huku baada ya mwezi ilibidi ugali niuze sh 2000 kutogana na gharama ambazo tulikua tunazitumia kwenye mboga, tangu tupandishe bei ya ugali mambo yamebadilika watu hawaji kula chakula kinabaki cha kutosha wale wateja nliokua nawafata wamerudi kwa watu wao walipokua wanakula zamani maana hapa nimezungukwa na mama ntilie kama watatu hivi.
Chakula kinabaki kingi inabidi niwe nakopa naongezea kwenye biashara ila madeni yanazidi kuongezeka nimekata tamaa na hii biashara ya chakula na hata nkisema niache!
Sijui nifanye nn jamani ni wiki mbili kila siku wali unabaki kama kilo mbili na ugali unakuta inabaki kama sahani saba hivi nisaidieni binti yenu jamani.
Atapata faida sasa akishusha bei?Hapana huko atapotea mazima.. Mchawi bei hapo.. Watu wa uswazi hawataki ubora wanataka wingi kwa bei kitonga.. Ugali mboga 3 wanataka kwa buku jero.. Akishusha bei watarudi wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchawi ni bei tu,wabongo walio wengi wanaangalia bei tu hasa hasa ukizingatia yuko nje ya mkoa wa dar.Pole sana huenda bei ya chakula chako na ubora wake ni tofauti haviendani.
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]100%Hapana huko atapotea mazima.. Mchawi bei hapo.. Watu wa uswazi hawataki ubora wanataka wingi kwa bei kitonga.. Ugali mboga 3 wanataka kwa buku jero.. Akishusha bei watarudi wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Iweke kinga ndugu mimi nakuambia hivyo kwasababu nimezaliwa kwenye familia ya wafanyabiashara kwahiyo ninachokuambia nakijua,usiwafuatishe hawà waganga njaa wa jamii forum mara location sijui niniHapana
Pamoja na kuwa Mshana aliwah kuwa mlozi lakin huwa hashauri watu kufanya ulozi kwenye biashara zaoHapana huko atapotea mazima.. Mchawi bei hapo.. Watu wa uswazi hawataki ubora wanataka wingi kwa bei kitonga.. Ugali mboga 3 wanataka kwa buku jero.. Akishusha bei watarudi wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya kupika nlikua nazunguka kuchukua oder.
Usafi nilizingatia sana ila suala ambalo lilikuja kuniangusha nahisi ni kwenye bei maana chakula tulikua tunauza 1500/= ndiyo bei za huku baada ya mwezi ilibidi ugali niuze sh 2000 kutogana na gharama ambazo tulikua tunazitumia kwenye mboga, tangu tupandishe bei ya ugali mambo yamebadilika watu hawaji kula chakula kinabaki cha kutosha wale wateja nliokua nawafata wamerudi kwa watu wao walipokua wanakula zamani maana hapa nimezungukwa na mama ntilie kama watatu hivi.
Chakula kinabaki kingi inabidi niwe nakopa naongezea kwenye biashara ila madeni yanazidi kuongezeka nimekata tamaa na hii biashara ya chakula na hata nkisema niache!
Sijui nifanye nn jamani ni wiki mbili kila siku wali unabaki kama kilo mbili na ugali unakuta inabaki kama sahani saba hivi nisaidieni binti yenu jamani.
Ushauri mzuri kabisa wa kufuatwaMchawi ni bei tu,wabongo walio wengi wanaangalia bei tu hasa hasa ukizingatia yuko nje ya mkoa wa dar.
Mambo ya ubora ni migahawa iliyopo Posta,Kariakoo,Makumbusho,Sinza,Mwenge na sehemu zingine special kama kwenye Pub/bar kubwa,hotels na malls,nje ya hapo wabongo wanataka bei ya chini tu.
Na kwa vile kosa lake ameshalitambua mwenyewe hapo lazima bei ashushe kisha atabana matumizi kwenye sehemu zingine kwa mfano kama ana wasaidizi 3 abaki na 2 mmoja apumzike hadi hali itakavyotengamaa na kama ana msaidizi mmoja amlipe nusu mshahara kwa muda atake asitake vinginevyo biashara itamshinda.
Pia afanye uchunguzi ni wapi ataweza kupata soko wanalouza bidhaa za vyakula kwa bei rahisi hata kwa kuagiza mikoa mingine.
Akishindwa kufanya haya basi ni bora aachane na hiyo biashara afanye mambo mengine
Achana na wanaosema ulozi, kifupi huja fanya analysis ya wateja wako, mtaani, km biashara yako haiko naeneo ya serikali basi ujue bei ya 2000 ni kubwa.
Mtaani ugari maharage buku, wao wanaangalia quantity sio quality, ndo mana wanawekewa hamira,
Si either uendane nao au utafute sehemu inayoendana na biashara yako.
Nasisitiza hapo hakuna uchawi,
Buku 2 wewe hata wali nyama na mazaga mengine maximum ni buku 2, hakuna wanapouza ugali buku 1 labda uje na mboga yakoMtaani ugari maharage buku,