Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Kinga ya nini wakati tatizo ameshalitambua lakini hataki kukubali ukweli?Umeweka kinga hapo?
Tatizo bei tu.
Tatizo lake kuu hakuchagua vizuri aina ya wateja wake au location ya biashara yake ziendane na uchumi wa eneo husika na ubora wa huduma zake.
Pili angalia kama umeajiri watu ukiwapa nafasi wanauza chakula wanatia kibunda mfukoni wanapika kingine chap wanakwambia biashara ngumu.
Yalinikuta hayo wakati nimemaliza tu kidato cha sita miaka hiyo nilijaribu restaurant na kusambaza site za ujenzi. Nilifuatilia nikabaini janja yao nikapiga chini na kuwakata mishahara yao.