Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Fanya fujo tu yani amua tu yani amka asubuhi itisha kikao cha pande mbili liamshe bila sababu hivyo yani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya hiviWakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Mkuu, nadhani mpaka nimefikia hatua hyo unajua Mimi sio mtoto , Wala kavulana, bali Ni kidume!Yaani ughailishe Kwa sababu unajisikia mzito au Kuna sababu ingine?
Kama sababu ni hiyo Wala usiwaze sana, achana na kuhangaika na watoto wa watu hadi ukue, ukishakuwa tayari kuwa baba wa familia then utaoa. Sasa hivi endelea na ujana au utoto wako kwanza
Asante! Nmepokea wazo lako, ingawa nilihisi nkimshirikisha aidha ataniforce nifunge hivyo hivyo au ataniona msumbufu hivi!Ndoa ni jambo kubwa sana katika maisha hasa kwa wakristu, hutakiwi kuingia ukiwa mzito nafsini mwako. Mshirikishe kiongozi wako wa kiroho, atakusaidia bila kukuabisha.
Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
8

Una umri Gani kwanza, then nikupe mbinuWakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Asante mkuu!Kama ni mtu wa rohoni waone viongozi wa dini na kama ni mtu wa Ndumba na ngai muone Mshana Jr kwa maelekezo zaidi.Siyo kila anayekuja kwenye harusi yako ni msherehekeaji,wengine ni walozi wanakuja kuharibu mambo na ndiyo maana unakuta wengine wanafunga ndoa lakini hawapati watoo,walozi wanapiga pini kizazi na wengine Bwana harusi unapigwa kizizi unakuwa na negative mind juu ya ndoa na hatimaye kuhairisha.Uwezi ukahairisha Jambo ambalo limepitia michakato yote kwa mara moja tu,hapo Kuna namna.