Nataka kuigeuza Tsh. 2,000 itengeneze zaidi ya Tsh. Million 1 kila mwezi

Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item.

Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi.

Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate shilingi 2,000 faida kwa kila bidhaa.

Kwa siku niuze bidhaa 20 na kila bidhaa niuze kwa faida ya Tsh 2000.

Location maeneo yaliyochangamka haswa kwenye junctions kama Mbagala, Mbezi Kimara, Tegeta, Gongolamboto.

Goli liwe kati ya laki 2 hadi laki 2.5

Sasa hapa naumiza kichwa ni bidhaaa ipi naweza zungusha ikakubaliana na hesabu zangu.

Naomba tupeane mawazo wadau ni bidhaa ipi yoyote naweza iuza inayozunguka fasta na ina faida ya buku 2 kwa kila item.
Ukipata hela ya kodi ya pango,,,tafuta meza kariakoo kwa hesabu hizo unazopiga zinawezekana pale
 
Inategemeana na idadi(pupulation), uhitaji(demand) na upatikanaji(Supply).

Hayo hapo juu yanafanya iwe ngumu kukupa idea sababu haijulikani hapo unapotaka kufanyia biashara pana idadi kiasi gani? Bidhaa gani zinahitajika zaidi kwa wingi? Na upatikanaji wake upoje.

Hapa kwangu panaweza kuwa na uhaba wa maandazi nikaanzisha biashara ya mandazi nikafanikiwa nikakupa idea kumbe kwako kunahitajika pombe za kienyeji.
 
Depost Hela yako kwa deriv broker,
Then trade BOOM na CRASH ni ndani ya masaa 10 utakuwa teali umeipataa.
 
Mkuu mimi kwa jinsi ulivyojieleza hapo biashara inayokufaa ni kuuza phone accesories yaani makava ya simu,chaja,na simu za bei rahisi.
Kwa mfano kava la simu unaweza kununua elfu 2000 kariakoo wewe ukauza 4000 nje ya jiji kama mbagala,tegeta,gongolamboto na kwa vile umesema una uwezo wa kulipia kodi 200k utapata ndani ya stendi kabisa kwenye mkusanyiko wa watu wengi.
Pia ninachoipendea hii biashara kuna biashara nyingi unaweza kuziongezea ndani yake kama ya uwakala mpesa,watu kama madereva wataleta simu zao kuchaji watalipia huduma,pia unaweza kumuweka fundi simu ambaye kila kazi atakuwa analipia asilimia mlizokubaliana.
Ukishindwa hii anzisha biashara ya vipodozi pia itakulipa.
 
Asante kwa madini kiongozi. Umetupa shule ya bure.
 
wazo zuri hili

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Bia jumla
Tuanze na vinywaji pendwa

Serengeti lager ndogo unanunua 23500 unauza 25000
Serengeti lite unanunua 29500 unauza 31000
Hizi zina faida ya 1500 kwa kreti.

Castle lite unanunua 24000 unauza 25000
Kilimanjaro unanunua 24400 unauza 25500
Safari unanunua 27500 unauza 28500
Hizi tbl faida ya kreti ni 1000

Soda
Pepsi jumla unauziwa kreti kuanzia 30..11300 wew unauza 12000 hizi faida 700
Coca kreti jumla kwanzia 50 unauziwa 11200 unauza 12000 faida 800

Maji
Hill lita moja unauziwa 2400 unauza 2700
Na mengineyo faida inarange 300

Masoko tafuta maduka na vipub vidogo vidogo vinavyokuzunguka hvyo ndio vinavyouza kwa sasa fanya delivery hata kwa kreti 2 utawateka..ukipata vipub 10 uhakika kuuza kreti 20+ per day ni uhakikaa.
Nyongeza nunua lipikipiki lakusambazia used

Mtaji ukikua weka pombe kali pia
 
Umetisha mkuu
 
Shati zuri la mtumba grade A ni 5000 na yeye anauza 7000 haya atauza kwa haraka kuliko shati la buku tatu

Ila pia angewaza sandle sijui kwa nn hii biashara nimekuja kuijua baada ya mtaji wangu kukata dah
Tatizo ni moja tu huko kwa wateja wako - wengi ni wa daraja na kipato cha chini au kati - nadhani hawawezi kutoa 5000/= au zaidi kununua shato moja! Hebu jaribu maofisini labda!
 
Bia jumla
Tuanze na vinywaji pendwa

Serengeti lager ndogo unanunua 23500 unauza 25000
Serengeti lite unanunua 29500 unauza 31000
Hizi zina faida ya 1500 kwa kreti.

Castle lite unanunua 24000 unauza 25000
Kilimanjaro unanunua 24400 unauza 25500
Safari unanunua 27500 unauza 28500
Hizi tbl faida ya kreti ni 1000

Soda
Pepsi jumla unauziwa kreti kuanzia 30..11300 wew unauza 12000 hizi faida 700
Coca kreti jumla kwanzia 50 unauziwa 11200 unauza 12000 faida 800

Maji
Hill lita moja unauziwa 2400 unauza 2700
Na mengineyo faida inarange 300

Masoko tafuta maduka na vipub vidogo vidogo vinavyokuzunguka hvyo ndio vinavyouza kwa sasa fanya delivery hata kwa kreti 2 utawateka..ukipata vipub 10 uhakika kuuza kreti 20+ per day ni uhakikaa.
Nyongeza nunua lipikipiki lakusambazia used

Mtaji ukikua weka pombe kali pia
Hapa kama unazungumzia duka au kaduka kadogo kajumla au siyo!?Kama ni hivyo MTAJI HITAJIKA ni kama shilingi ngapi? Fremu na vitu vingine usiweke kama sehemu ya mtaji! Zungumzia mtaji tu!
 
Back
Top Bottom