Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Uzuri wa hii biashara unaiweka popote hata ndani ndani huko kwa frem za elfu 50 kwa sababu wateja unawatafuta mwenyew sio wapita njia..store za watu wanaweka hadi majumbn,Hapa kama unazungumzia duka au kaduka kadogo kajumla au siyo!?Kama ni hivyo MTAJI HITAJIKA ni kama shilingi ngapi? Fremu na vitu vingine usiweke kama sehemu ya mtaji! Zungumzia mtaji tu!
Boda used yenye hali nzuri(injini) 800,000
c/lite 15 360,000
S/lager 15. 352,500
S/lite 15. 442,500
Kill ndogo 10. 245,000
Safari ndogo 10 275,000
Unawez usianze na hizi kama upo dar mzunguko ni mdogo ila ni muhimu kua nazo
Safari kubwa 5
Kill kubwa 5
Plisner 5
Serengeti lagar kb 5
Ma agent wakubwa wanapita kila baada ya siku 2 au 3 kusambaz mzigo inategemea na order za eneo lenu wauzaji wa jumla.
Ukiwa na milion 3 mpka 5 unaweza ukaanza kidogo kidogo
Kreti tupu na chupa zake ni elf 10