Nataka kuigeuza Tsh. 2,000 itengeneze zaidi ya Tsh. Million 1 kila mwezi

Hapa kama unazungumzia duka au kaduka kadogo kajumla au siyo!?Kama ni hivyo MTAJI HITAJIKA ni kama shilingi ngapi? Fremu na vitu vingine usiweke kama sehemu ya mtaji! Zungumzia mtaji tu!
Uzuri wa hii biashara unaiweka popote hata ndani ndani huko kwa frem za elfu 50 kwa sababu wateja unawatafuta mwenyew sio wapita njia..store za watu wanaweka hadi majumbn,

Boda used yenye hali nzuri(injini) 800,000
c/lite 15 360,000
S/lager 15. 352,500
S/lite 15. 442,500
Kill ndogo 10. 245,000
Safari ndogo 10 275,000

Unawez usianze na hizi kama upo dar mzunguko ni mdogo ila ni muhimu kua nazo

Safari kubwa 5
Kill kubwa 5
Plisner 5
Serengeti lagar kb 5

Ma agent wakubwa wanapita kila baada ya siku 2 au 3 kusambaz mzigo inategemea na order za eneo lenu wauzaji wa jumla.

Ukiwa na milion 3 mpka 5 unaweza ukaanza kidogo kidogo

Kreti tupu na chupa zake ni elf 10
 
Tafuta mtaji mkubwa mkubwa ufungue duka la reja reja Lina faida nzuri sana
 
Sasa mkuu pembeni ya kodi, nikiweka mtaji kiasi gani ndio naweza pata kuanzia million 1 kila mwezi na unashauri nianze na accessories gani ambazo zinatoka zaidi kila siku?
 
Tafta sehem ya junction...andaa mishkaki saafi mitamu....usiweke milangi langi ile ..choma na kuku hawa wakisasa pembeni...na ndizi mzuzu .... utaenjoy show ....na pia hutahitaji mtaji wote huo ...ikibidi tengeneza na Yale masoseji ya kienyeji .... wengine twaita mabomu yachome vizur...wateja shaziiii
 

Kama huna cha kusema Kaa kimya.
 

Duka la aina gani ama la bidhaa zipi?
 
Hii ndio nafanya.....anayefanya pia tushirikiane mawazo ya kuboresha kipato.....pia mleta uzi ukihitaj abc juu ya hii karb
 
wazo bora kabisa kushinda yaliyotangulia hapo juu.

mtaji wake tu
 
viatu vya kike slipper unanunua 5000 5500 hadi 6000 rejareja 8000
 
SUBIRI LIGI ZIANZE MWEZI WA NANE UKABET UNAWEZA INGIZA HIYO MILIONI 1 KWA SIKU..
 
Uza accessories zihusuzo simu kama earphones, Chaja n.k
Chukua bei ya jumla Sh. 2,500 wewe uza kwa kutupa kabisa Sh. 4,500.

Weka vijiwe 4. Kila kijiwe kwa siku uza bidhaa 5 ambayo total ni bidhaa 20 na faida ni 40,000. Tayari kwa mwezi ni 1.2m. Hata ukiwalipa wafanyakazi kila mmoja laki na nusu utatumia 450,000 kwa watatu maana kijiwe cha nne unasimamia na show mwenyewe. Hapo utabaki na 750,000. Fanya biashara kwa mwaka mmoja tu anza kuagiza mzigo China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…