Nataka kuigeuza Tsh. 2,000 itengeneze zaidi ya Tsh. Million 1 kila mwezi

Big up ndugu umetisha sana
 
Mkuu kama una uzoefu niambie ni accessories gani zinazotoka zaidi?
Pia na simu gani zinazonunuliwa zaidi na watu wa kawaida
 
Vibali kipindi cha Magu vilisumbua sana kutokana na ile sheria ya mazingira na kusafirisha bidhaa za misitu. Sasa hivi mambo yakoje?
 
Vibali kipindi cha Magu vilisumbua sana kutokana na ile sheria ya mazingira na kusafirisha bidhaa za misitu. Sasa hivi mambo yakoje?
Kwasasa kila kitu kipo sawa Mzee wangu......wengine mitaji haijakaa vyema tu ila ni bonge la business
 
Hebu sasa nisaidie kwenye vinywaji baridi yaani soda, maji, majuisi juisi, hizo energies na kadhalika; mtaji unaweza kuwa vipi, nidadavulie tafadhali.
 
Duka moja lina uza mayai, pembeni kuna mashati alafu kuna mpesa nawaza tu linavyooneka [emoji28][emoji28][emoji28]
Elewa kuwa ametolea mfano , basi jiongeze kupitia huo mfano
 
Tafuta ka Plot hapo Mbagala Rangi Tatu, hata hapo stand tu ulime matikiti nasikia yanalipa sana kwa hesabu za mezani.
 
Mawazo mazuri sana,mwenye kutilia maanani,ataleta ushuhuda siku za mbeleni.
 
Ungetaka ya 1000 au 1500 ningekupaa ushaurii
πšƒπš˜πšŠ πšžπšœπš‘πšŠπšžπš›πš’ πš–πš”πšžπšž πšπšžπšπšŠπš’πšπš’πš”πšŽ πš πšŽπš—πšπš’πš—πšŽ πš πšŽπš—πšπš’
 
Hapa mtaji sh ngapi?
 
Oo
oo sawa
 
Kuna jamaa aliwahi kuwa na hii biashara enzi hizo alikuwa kapangisha kwenye frame za nyumbani kwetu, uhakika wa kuuza crate zaidi ya 30 alikuwa nao maana alijikuta anakuwa supplier wa bar nyingi ule mtaa.

Yeye hakutumia pikipiki, alichonga matoroli yale manne (ya chuma) akawa na madogo wa kupeleka mizigo.
 
Hyo faida inapatikana kwa uharaka kwenye nguo,kama mashati ya mtumba ulivyoelezwa huko juu au kuuza kadeti na jeans tu ukitarget pazuri unatoboa
Kila nikiifikiria biashara ya nguo kisha nikifikiria jinsi nilivyo mvivu wa kununua nguo, huwa sina amsha nayo kabisa.

Ila kwakua inatajwa sana na watu, inaonekana kuwa na faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…