The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 67
- 238
Usiingie hadi ujue unachotaka na kufanya vinginevyo, uzi wako ni wa hovyo.Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi ni introvert, 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.
Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa kuingilia, yaani sijui nianzie wapi, nikisema nianze kutongoza hata marafiki wachache wakike nilonao nitawapoteza kabisa, nikisema niongeze kuwa social yaani 'kichomozo' nitaonekana cheap na wengi watanotice hilo.
Sasa wakuu naombeni uzoefu, natanguliza shukrani
tafuta pesa kijana, Hawa viumbe wanapenda pesa balaaNipeni uzoefu ndugu zangu, mimi ni introvert, 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.
Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa kuingilia, yaani sijui nianzie wapi, nikisema nianze kutongoza hata marafiki wachache wakike nilonao nitawapoteza kabisa, nikisema niongeze kuwa social yaani 'kichomozo' nitaonekana cheap na wengi watanotice hilo.
Sasa wakuu naombeni uzoefu, natanguliza shukrani
Pesa kama kiasi ganiPa kuanzia ni kutafuta pesa kwanza.
Uzi ufungwe. Hili ndio jibu la swali lako.Anza na dada poa kwanza ila tumia zana utolewe ushamba kwanza
Dada poa nasikia wana addiction mkuu, nisijeharibikiwa kabisa maisha, kwani hamna namna nyingineAnza na dada poa kwanza ila tumia zana utolewe ushamba kwanza
Yah tunampa uzoefu kidogo wa haya mambo Cha msingi apige na zana atakuwa safeUzi ufungwe. Hili ndio jibu la swali lako.
Kinachokusumbua ni nyege tu kwahyo tafuta dada poa
Hawana addiction yoyote kimsingi utakuwa safe kipindi unapata uzoefuDada poa nasikia wana addiction mkuu, nisijeharibikiwa kabisa maisha, kwani hamna namna nyingine
Achana na hiyo kitu kwa ajili ya amani ya moyo wako na afya ya akili...utanikumbukaš¤£Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi kijana wenu hapa 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.
Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa kuingilia, yaani sijui nianzie wapi, nikisema nianze kutongoza hata marafiki wachache wakike nilonao nitawapoteza kabisa, nikisema niongeze kuwa social yaani 'kichomozo' nitaonekana cheap na wengi watanotice hilo.
Sasa wakuu naombeni uzoefu, natanguliza shukrani
Asante sana mkuu, nitaishi na ushauri wakoMkuu, kuingia Kwenye mahusiano kwasasa sikushauri.
Muda huu ungejikita kutafuta hela na maisha Kwa ujumla kama alivyoshauri Dada Mkubwa Hannah
Mahusiano bila fedha, lazima yatakusumbua
Angalia wimbi la Vijana wa vyuo vikuu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.
Unamiliki kibebi chako cha Chuo, alafu anakuja mtu mzima mwenye maisha yake anakupora