Nataka kuingia kwenye Mahusiano, nianzie wapi

Joined
Dec 13, 2023
Posts
67
Reaction score
238
Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi kijana wenu hapa 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.

Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa kuingilia, yaani sijui nianzie wapi, nikisema nianze kutongoza hata marafiki wachache wakike nilonao nitawapoteza kabisa, nikisema niongeze kuwa social yaani 'kichomozo' nitaonekana cheap na wengi watanotice hilo.

Sasa wakuu naombeni uzoefu, natanguliza shukrani
 
Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi ni introvert, 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.

Usiingie hadi ujue unachotaka na kufanya vinginevyo, uzi wako ni wa hovyo.
 
Tafu
Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi ni introvert, 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.

Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa kuingilia, yaani sijui nianzie wapi, nikisema nianze kutongoza hata marafiki wachache wakike nilonao nitawapoteza kabisa, nikisema niongeze kuwa social yaani 'kichomozo' nitaonekana cheap na wengi watanotice hilo.

Sasa wakuu naombeni uzoefu, natanguliza shukrani
tafuta pesa kijana, Hawa viumbe wanapenda pesa balaa
 
Mleta mada huyu ni wewe mtupu bisha blaza.

1738258921332.jpg
 
Mkuu, kuingia Kwenye mahusiano kwasasa sikushauri.

Muda huu ungejikita kutafuta hela na maisha Kwa ujumla kama alivyoshauri Dada Mkubwa Hannah

Mahusiano bila fedha, lazima yatakusumbua

Angalia wimbi la Vijana wa vyuo vikuu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.

Unamiliki kibebi chako cha Chuo, alafu anakuja mtu mzima mwenye maisha yake anakupora
 
Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi kijana wenu hapa 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.

Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa kuingilia, yaani sijui nianzie wapi, nikisema nianze kutongoza hata marafiki wachache wakike nilonao nitawapoteza kabisa, nikisema niongeze kuwa social yaani 'kichomozo' nitaonekana cheap na wengi watanotice hilo.

Sasa wakuu naombeni uzoefu, natanguliza shukrani
Achana na hiyo kitu kwa ajili ya amani ya moyo wako na afya ya akili...utanikumbuka🤣
 
Mkuu, kuingia Kwenye mahusiano kwasasa sikushauri.

Muda huu ungejikita kutafuta hela na maisha Kwa ujumla kama alivyoshauri Dada Mkubwa Hannah

Mahusiano bila fedha, lazima yatakusumbua

Angalia wimbi la Vijana wa vyuo vikuu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.

Unamiliki kibebi chako cha Chuo, alafu anakuja mtu mzima mwenye maisha yake anakupora
Asante sana mkuu, nitaishi na ushauri wako
 
Back
Top Bottom