The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 67
- 238
Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi kijana wenu hapa 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.
Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa kuingilia, yaani sijui nianzie wapi, nikisema nianze kutongoza hata marafiki wachache wakike nilonao nitawapoteza kabisa, nikisema niongeze kuwa social yaani 'kichomozo' nitaonekana cheap na wengi watanotice hilo.
Sasa wakuu naombeni uzoefu, natanguliza shukrani