Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Yupo mkafiri mkoa x ukitimiza mashart anakupa mkopo wa milioni 40 Kama mtaji au zaidi kutokana na biashara unayotaka kuanzisha. Wengi huchukua 50 ili wanunua mafuso au makoster na mabasi waanze kuvuna pesa mapema.
Ila mzee, sahau nyumba ndogo, sahau mchepuko au Malaya, wewe Ni mkeo tu halafu mtunze atunzike asiugue Wala kufa mapema.
Sharti la pili ndio gumu na ndio linalowafanya wengi kushindwa.
Huyo mkafiri anapatikana wapi nipate mbona umetaja nusu nusu 🤣🤣
 
Yupo mkafiri mkoa x ukitimiza mashart anakupa mkopo wa milioni 40 Kama mtaji au zaidi kutokana na biashara unayotaka kuanzisha. Wengi huchukua 50 ili wanunua mafuso au makoster na mabasi waanze kuvuna pesa mapema.
Ila mzee, sahau nyumba ndogo, sahau mchepuko au Malaya, wewe Ni mkeo tu halafu mtunze atunzike asiugue Wala kufa mapema.
Sharti la pili ndio gumu na ndio linalowafanya wengi kushindwa.
Mkuu malizia masharti mda ni mchache watu wapime upepo😂
 
Sahau kupata connection hiyo hapa jamiiforum hayo mambo ni siri kubwa sana ndugu yangu pambana pesa utapata tu ila sio kwa njia hiyo.
 
Hata kuko sio kwamba kila anayeenda anatoboa wengine huishia kuharibikiwa maradufu.
Kama huna nyota usijisumbue maana hata wao huchagua wenye nyota kali
 
Nashangaa Sana kaishia njiani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wa aina yako ndio mnasabisha wakimbie ama kuingia mitini, mnafanya utani kwenye ishu siriaz, mwanaume mzima unaweka ma emoji ya kucheka cheka ovyo.
Japo wengine najua wanakuja kuchangamsha genge, wemgine wanataka kunyenyekewa na kubembeleezwa ..ngoja tuone.
 
Nitapata kwa njia hiyo.

Unaelewa kuhusu kibali ?Kama hauna kibali means hauwezi utakachokuwa unafanya ni kuhama mikoa , kuhama wilaya na kuhama hadi nchi

Tafuta kibali cha Biashara /Kazi then ukipata biashara tafuta kibali cha wateja na ukipata kibali cha Wateja Tafuta kibali cha kuimiliki HELA.

Waganga wa Africa 99% hawana uwezo wa kukupa utajiri maana wengi hufanya black magic , kufitini , kuharibu n.k

So just practice white magic uone Kama utapata kibali na wengine huita NYOTA.

Just focus on positivity Stuffs.

In Africa , you can lose soul and you can lose world.
 
Sijajua kwanin wabongo wengi vijana asilimia kubwa hua wanawaza kufiranah tu. Hua najiuliza sana. Kila kitu lazima atoe koment ya kufiranah.
Wengi wamepakwa mafuta ya "baby oil " , ni wapakwa mafuta kiufupi so wanatangaza biashara
 
Nenda freemason posta ya zamani ukale kiapo
Freemason sio kàma kuamua kuwa mshabiki wa Yanga au simba ,kule hatuombi kujoin bali unakuwa selected na wao ,wanakupa mwaliko wa kujoin tena baada ya vetting ya muda mrefu si chini ya miaka hata kumi ,wanakuwa wamekufuatilia na kujua mienendo yako nakukujua kiundani kwamba ukiwa member hutakuja kuwa traitor
Pia freemasons wanachagua watu wamatajiri na wenye mafanikio na umaarufu kwa nyanja mbalimbali
Sasa wewe kajammbanani nani akupe mwaliko wa kujoin freemason?
 
Kitakachokushangaza ni kwamba hata shetan ukiungana nae atakwambia ....kafanye kazi kwa bidii na maarifa nitakupea humo humo!
Bora tu uanze mwenyewe kuitumia kanuni ya ..TRUST THE PROCESS!
Umeshaambiwa .....
Pesa haitafutwi, Pesa hutegwa!
 
Kama mtu anataka utajiri akamfate Pdidy ,mabilioni yapo ila sharti ,upakwe mafuta halafu upakatwe na huyo mwamba
 
Back
Top Bottom