Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Acha mawazo ya Kishetani Kwa Njia ngumu zenye utajiri Wa mateso. Mchana Vibe usiku ukiingia ni vilio.

Hata kama huna hata TSH 100 NYEUSI bado unayo nafasi ya Kufanya Vitu vya Halali na kupata pesa Halali, na kuzitumia vile utakavyo.

Njoo Makumbusho DAR es salaam Jengo LINAITWA MWANGA TOWER Ghorofa ya Tatu Ofisi Inaitwa IREV. MKUU. Fika siku yeyote Kati ya Jumatatu Hadi Ijumaa Saa tano asubuhi Hadi Saa 10Jioni... "We raise by lifting others"
 
Hao wakina lugumi na wengineo unaowata wao ndo watapaswa wajifunze kwako.. $$$$$$$$$$$$$$
 
KARIBU FREEMASON NAMBA YANGU NI HII HAPA NIKO PALE KATIKATI PALE NAMBA YANGU NI HII........NAITWA 0000000
 
Kwa binadamu, wengi huwa tunatamani kile ambacho hatuna, ukilazimisha kukipata kwa njia zisizoeleweka huwa inakuwa ni mateso.

Wengi tukiwatazama usoni tunahisi wana furaha, ila katika mioyo yao wanaumia na wanateseka.

Ni bora kuwa huru kwa kula ugali na kachumbari

Ni tajiri yupi, akiwa mbali na macho ya watu huwa ana furaha?​
Imani tu hiyo bro..
Wealth is for great men only
Nani kakuambia kuwa tajiri hana amani?
Halafu wewe unaejikunja kitandani badala ya kulala una amani?
Yaani nafsi yangu inatamani kula maini na kuku kama supu jioni na mazaga zaga asilia halafu uwezo huo sina
Naishia kujilazimisha kula wali na maharage tu ili kuitibu njaa kisha uniambie utakuwa na amani?? Kweli? Tuache kujifariji kwenye dhiki mkuu..
Wewe huoni raha ukiingia ndani kwako pale jikoni kula patten ya mboga kama kumi hivi ni mwendo wa kupakua tu kiasi kiasi yaani hapa nyama rosti pale samaki mkavu pale maini rosti pale kuku rosti huku spinach pale kaugali ka muhogo huku mchemsho wa sato pale tambi kidogo huku mchemsho wa utumbo pale majani ya kunde hapa mlenda
Weee hupendi hivyo ?
Kila saa mbili usiku jumamosi na jumanne mahotpot yanashuka mtaani kwa watoto yatima unakula nao menu weee hupendi kwani?
Acha uongo eti mtu hana furaha
Sema hivi masikini wamejaza nadharia nyingi sana za kuyapinga maisha ya kitajiri mkuu..
 
Huyo alishindwa post #71 ninachokushauri ndugu yangu tafuta mtaji halafu tengeneza wazo lako zuri la biashara lianzishe. Hela itakufuata tu kuna Wanasiasa wana mahela kibao hawajui wayaweke wapi.
Porojo kama ushubwada mwingine
 
Kwani shetani anataka mtu yeyote? Unaweza kujipeleka akakufukuza na vitisho juu, Mungu tu ndio wa wote, Siku moja ukikaa peke yako anza kutaja Mungu amekufanyia nini, utashangaa ni mengi sana.

Hujawaona waganga mafukara, Mimi nimekaa na wafuga majini hohehahe, mwingine eti anamiliki misukule eti ndio mtaalamu wa kukata ndimi za misukule, Ila kachooka, hana hata uwezo wa kusomesha watoto wake.

Nenda ujiji-kigoma, chemchemi-Tabora, bagamoyo n.k uone wachawi na wafuga majini walivyo masikini
 
Imani tu hiyo bro..
Wealth is for great men only
Nani kakuambia kuwa tajiri hana amani?
Halafu wewe unaejikunja kitandani badala ya kulala una amani?
Yaani nafsi yangu inatamani kula maini na kuku kama supu jioni na mazaga zaga asilia halafu uwezo huo sina
Naishia kujilazimisha kula wali na maharage tu ili kuitibu njaa kisha uniambie utakuwa na amani?? Kweli? Tuache kujifariji kwenye dhiki mkuu..
Wewe huoni raha ukiingia ndani kwako pale jikoni kula patten ya mboga kama kumi hivi ni mwendo wa kupakua tu kiasi kiasi yaani hapa nyama rosti pale samaki mkavu pale maini rosti pale kuku rosti huku spinach pale kaugali ka muhogo huku mchemsho wa sato pale tambi kidogo huku mchemsho wa utumbo pale majani ya kunde hapa mlenda
Weee hupendi hivyo ?
Kila saa mbili usiku jumamosi na jumanne mahotpot yanashuka mtaani kwa watoto yatima unakula nao menu weee hupendi kwani?
Acha uongo eti mtu hana furaha
Sema hivi masikini wamejaza nadharia nyingi sana za kuyapinga maisha ya kitajiri mkuu..
Utajiri usiotesa, ni ule wa kuzalisha mahitaji yako mwenyewe, kwenye kilimo, kufuga, ambapo utapata nyama, mayai, nafaka, viungo n.k

Huu utajiri wa kuwa na hela karatasi ni ubatili mtupu; huku ukitegemea hela hiyo ndio igeuke kuwa mchicha, viazi, nyanya n.k​
 
Unamawazo mazuri ila hata kumudu hilo pia nichangamoto
 
Tunashindwa kumudu kwa sababu tumeamia mijini tukiwa watumwa wa mishahara, huku tukitoka makazini usiku na kusahau kupangilia maisha yetu nje ya ajira.
 
Utajiri usiotesa, ni ule wa kuzalisha mahitaji yako mwenyewe, kwenye kilimo, kufuga, ambapo utapata nyama, mayai, nafaka, viungo n.k

Huu utajiri wa kuwa na hela karatasi ni ubatili mtupu; huku ukitegemea hela hiyo ndio igeuke kuwa mchicha, viazi, nyanya n.k​
Vyote ulivyotaja vinakuja na kudumu kwako ukiwa na pesa nje ya hapo utaonekana chizi tu Kuku watataka waangalizi na mazingira bora..
Watu watakuzunguka na kuwa tayari kuumia ili wakuokoe wewe kwasababu kula yao umeishikilia wewe..
Huhitaji kumuomba mwanamke rushwa ya ngono ili apate ajira kwako
Ukiwa tajiri tu kwanza sharti kuu ni kuepuka ngono kitu ambacho kitakufanya uwe na afya ya akili na mwili pia kukuongezea energy ya utakatifu..
Unadhani utapewa pesa nyingi halafu ubaki na access ya kutia tia watoto wa watu na wake za watu hovyo?
 
Wazee wetu wa zamani walifanikiwaje kuishi kwa kulima na kufuga?
 
Bròo nioneshe sehemu ambayo utaenda uweke mabavu ujitwalie hekari 30 kwa sasa yaani tunaita unakamata eneo lako..

Tukubaliane kuwa kila kitu kwasasa kimekuwa pesa na hata kilimo kinahitaji watu na watu wanataka pesa..
Zama zimebadilika toka kule hakuna tivi mpaka sasa indoor projectors
Wewe usipime..
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.

Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Attachments

  • 20241124_002612.jpg
    20241124_002612.jpg
    116.3 KB · Views: 5
Bròo nioneshe sehemu ambayo utaenda uweke mabavu ujitwalie hekari 30 kwa sasa yaani tunaita unakamata eneo lako..

Tukubaliane kuwa kila kitu kwasasa kimekuwa pesa na hata kilimo kinahitaji watu na watu wanataka pesa..
Zama zimebadilika toka kule hakuna tivi mpaka sasa indoor projectors
Wewe usipime..
Mapori bado ni mengi sana, kama huko manyoni ndani ndani eka moja unapata kwa 30,000; ata ukiomba pori la kukodi ulime bure unapewa
 
Back
Top Bottom