Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.

Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Dah
 
Attachments

  • 20240812_094210.jpg
    20240812_094210.jpg
    17.3 KB · Views: 2

Tafuta kwanza amani.Hujui kwamba matajiri hawalali usingizi kama masikini?
 
Dogo usichanganyikiwe sana utakuja kuwekwa na wahuni kwaajili ya tamaa za vitu vidogo. Fanya Kazi weka akiba nunua asset zinazo appreciate baada ya muda utakua tajiri Ila kwa hii style yako utakuja kua mteja wa kudumu wa pampers
 
Dogo usichanganyikiwe sana utakuja kuwekwa na wahuni kwaajili ya tamaa za vitu vidogo. Fanya Kazi weka akiba nunua asset zinazo appreciate baada ya muda utakua tajiri Ila kwa hii style yako utakuja Kia mteja wa kudumu wa pampers
Kauli yang ni ile ile, ukiona katika mada za kujadili kitu cha kwanza kinachokuja akilini mwako ni kufiranah basi kama haufanyi hio michezo basi wewe ni mdau. Aksante.
 
Hii Imani hatari sana,hi ndo inapelekea mauaji ya albino,kichuna ngozi na kunyofoa viungo vya watu.

Hakuna utajiri wa kirahisi kiasi hicho,utaishia kutoa pesa kwa waganga wa kienyeji na kipokea masharti ya ajabu ajabu ikiwepo mauaji na kufanikiwa usifanikiwe

Pesa inafuata watu wenye ujuzi au bidhaa zinalizo hitajika sana na watu,jitahidi uwe na bidhaa au ujuzi ambao watu watavutiwa nao na utaona pesa zinakifuata

Pesa zinafuata wenye vitu au ujuzi wa thamani
 
motivesheni spika.
 
Yupo mkafiri mkoa x ukitimiza mashart anakupa mkopo wa milioni 40 Kama mtaji au zaidi kutokana na biashara unayotaka kuanzisha. Wengi huchukua 50 ili wanunua mafuso au makoster na mabasi waanze kuvuna pesa mapema.
Ila mzee, sahau nyumba ndogo, sahau mchepuko au Malaya, wewe Ni mkeo tu halafu mtunze atunzike asiugue Wala kufa mapema.
Sharti la pili ndio gumu na ndio linalowafanya wengi kushindwa.
Lipi
 
Back
Top Bottom