The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Huyo mkafiri anapatikana wapi nipate mbona umetaja nusu nusu 🤣🤣Yupo mkafiri mkoa x ukitimiza mashart anakupa mkopo wa milioni 40 Kama mtaji au zaidi kutokana na biashara unayotaka kuanzisha. Wengi huchukua 50 ili wanunua mafuso au makoster na mabasi waanze kuvuna pesa mapema.
Ila mzee, sahau nyumba ndogo, sahau mchepuko au Malaya, wewe Ni mkeo tu halafu mtunze atunzike asiugue Wala kufa mapema.
Sharti la pili ndio gumu na ndio linalowafanya wengi kushindwa.
Mkuu malizia masharti mda ni mchache watu wapime upepo😂Yupo mkafiri mkoa x ukitimiza mashart anakupa mkopo wa milioni 40 Kama mtaji au zaidi kutokana na biashara unayotaka kuanzisha. Wengi huchukua 50 ili wanunua mafuso au makoster na mabasi waanze kuvuna pesa mapema.
Ila mzee, sahau nyumba ndogo, sahau mchepuko au Malaya, wewe Ni mkeo tu halafu mtunze atunzike asiugue Wala kufa mapema.
Sharti la pili ndio gumu na ndio linalowafanya wengi kushindwa.
🤣🤣safi sana umaskini sio poa.
Nalog off
Nashangaa Sana kaishia njiani 🤣🤣🤣Mkuu malizia masharti mda ni mchache watu wapime upepo😂
Atakuwa anazinguaNashangaa Sana kaishia njiani 🤣🤣🤣
Analeta utani ktk vitu seriousAtakuwa anazingua
Umeshapata mshahara wa laki 3 ewe maskin wa halmashauri? Mana nimeona uzi wako ukiwa unalia kama mtoto mdogo..Kwamba mshana anatafuta umaarufu kwako wewe maskini?[emoji3][emoji3]
Sichukui ushaur kwa wasanii.Chukua huu ushauri wa Mtaalam wa haya mambo
Watu wa aina yako ndio mnasabisha wakimbie ama kuingia mitini, mnafanya utani kwenye ishu siriaz, mwanaume mzima unaweka ma emoji ya kucheka cheka ovyo.Nashangaa Sana kaishia njiani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitapata kwa njia hiyo.Sahau kupata connection hiyo hapa jamiiforum hayo mambo ni siri kubwa sana ndugu yangu pambana pesa utapata tu ila sio kwa njia hiyo.
Nitapata kwa njia hiyo.
Pm umefunga mrembo wangu.Nina mtaalamu namfahamu,njoo PM
Wengi wamepakwa mafuta ya "baby oil " , ni wapakwa mafuta kiufupi so wanatangaza biasharaSijajua kwanin wabongo wengi vijana asilimia kubwa hua wanawaza kufiranah tu. Hua najiuliza sana. Kila kitu lazima atoe koment ya kufiranah.
Freemason sio kàma kuamua kuwa mshabiki wa Yanga au simba ,kule hatuombi kujoin bali unakuwa selected na wao ,wanakupa mwaliko wa kujoin tena baada ya vetting ya muda mrefu si chini ya miaka hata kumi ,wanakuwa wamekufuatilia na kujua mienendo yako nakukujua kiundani kwamba ukiwa member hutakuja kuwa traitorNenda freemason posta ya zamani ukale kiapo