Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Kila kitu huanza na nia
Halafu mchakato ndio huanza na kwenye mchakato kuna maumivu makali sana hapo unapaswa uvumilie. Halafu kitu kingine uwe risk taker nothing comes easy, kubali kupigika ili uje uheshimike. Mafanikio yapo kwenye kupambania kile unachokiamini. Usiwaze kupata mafanikio kwa njia za giza. Nia, nidhamu, jitihada.
Utafanikiwa la sivyo utaishia na msongo wa mawazo tu.
NIMEMALIZA