Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Hivi ni nani aliwadanganya Mungu hawezi kukupatia huo utajiri?Mwenyezi Mungu anaweza kukupatia utajiri tatizo mna dhamiri mbaya,na ndio maana anawanyima.Akikunyima unaenda upande wa pili na wa upande wa pili atakupa kwa sababu anajua utakavyoitumia na mwisho roho yako itakuwa mali yake.Una Mungu ambae ameiumba mbingu na dunia piga magoti sali naye atakupatia.Mwenyezi Mungu anasema huwaruzuku walio wake hata walalapo
 
Sikuelewi. Na wewe umepagawa na maisha ya kimaskini.?
Ningepagawa ningekuja na post za namna hii! Anayemtafuta shetani na anayeshauri uamke nani kapagawa? Angalia usijeokota makopo machafu baadaye! Nani kakufundisha kuna shetani na anagawa utajiri bure kwa mafailure? Hata kama yupo hope atakuwa anawapa watu smart sio kama wewe brother atapata nini sasa akikupa? Useless
 
Kwa binadamu, wengi huwa tunatamani kile ambacho hatuna, ukilazimisha kukipata kwa njia zisizoeleweka huwa inakuwa ni mateso.

Wengi tukiwatazama usoni tunahisi wana furaha, ila katika mioyo yao wanaumia na wanateseka.

Ni bora kuwa huru kwa kula ugali na kachumbari

Ni tajiri yupi, akiwa mbali na macho ya watu huwa ana furaha?​
Mondi
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.

Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kila lenye heri, Taifa tushapoteza mtu
 
Muulize kanumba na maiko jakson.......kwamba kwanini mlikufa mapema mkaacha magari na nyumba na wake na watoto...kanumba alikufa na miaka 27..maiko jackson about 40.
mali za mapepo na mashetani zipo kimabadilishano na maisha yako.

Utaacha mke wako mjane na watoto fatherless
Huyo maiko jackson wa buza aliyekufa akiwa about 40 years.
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.

Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ulifanikiwa usinisahau pia maana na mm nimechoka.
 
Back
Top Bottom