Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.

Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Uko tayari kulala na mama yako au kumuua tukupe mchongo?
 
Huwezi Wewe halafu Allah ndio mwenye kutoa riziki. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mlima upo Lindi huko kuingia tu kwenye hilo pango pale mlangoni ni kimbembe. Ndani kuna aina zote za madini hata ukiingia mule ndani pumzi inabana kinoma. Umejipangaje nikupe connection uende ? Ukachote mali ?
Hizo mbanga sjui mali za mjerumani sjui mali za mapangoni ni upumbav na kupotezeana mda tu.
 
Ni vitu vya kufikirika mzee hakuna kiumbe kinaitwa shetani , we pambana tu kitakachokuja ndo bahati Yako , usiwaze sana utajiri, pambana pata pesa kula vizuri kunywa maji mengi relax , watu hatulingani kama vidole vya mkono,
 
Back
Top Bottom