pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
- Thread starter
- #61
Mbinu za kimaskin hizi. Una laki moja. Unakua bahili ili iweje.mbinu za utajiri ni ubahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinu za kimaskin hizi. Una laki moja. Unakua bahili ili iweje.mbinu za utajiri ni ubahili.
Ndio ntaweza mkuu. Naomba nisaidie konekshen. Kama ni yakweli na kama kweli nitapata utajiri niko tayari.Na utakapopewa masharti magumu ambayo huwezi timiza uje utuambie hapa. Kuna jamaa yangu alikua kama wewe kapewa koneksheni ya mganga huko shinyanga, kaenda kapewa masharti anaanza kumwomba mganga ambadilishie mengine [emoji3][emoji2]. Ambacho hukijui katika ulimwengu wa roho, spirits operate with disciplined and consistent people. Sasa kama huna hata discipline ya kufanya kazi ya masharti utaiweza?
Ndio.Pumbavu, ukiambiwa ufanye au ufanyiwe vitendo vya kishetani uko tayari?
Asante. Mimi ni wa kwake na yeye ni wa kwangu. Alisema nikimsujudia atanipa utajiri. Nami namsujudia.Kila la heri, Shetani na akubariki
😃😃 Bahati mbaya wanaotaka utajiri ni wazinzi by default.Yupo mkafiri mkoa x ukitimiza mashart anakupa mkopo wa milioni 40 Kama mtaji au zaidi kutokana na biashara unayotaka kuanzisha. Wengi huchukua 50 ili wanunua mafuso au makoster na mabasi waanze kuvuna pesa mapema.
Ila mzee, sahau nyumba ndogo, sahau mchepuko au Malaya, wewe Ni mkeo tu halafu mtunze atunzike asiugue Wala kufa mapema.
Sharti la pili ndio gumu na ndio linalowafanya wengi kushindwa
InapendezaAsante. Mimi ni wa kwake na yeye ni wa kwangu. Alisema nikimsujudia atanipa utajiri. Nami namsujudia.
Hiyo mbinu hupati utajiri utazipata lakin siyo nyingimbinu za utajiri ni ubahili.
Sijaona faida ya mbususu.[emoji2][emoji2] Bahati mbaya wanaotaka utajiri ni wazinzi by default.
Bora hivo. Kuliko kufa maskini.Muulize kanumba na maiko jakson.......kwamba kwanini mlikufa mapema mkaacha magari na nyumba na wake na watoto...kanumba alikufa na miaka 27..maiko jackson about 40.
mali za mapepo na mashetani zipo kimabadilishano na maisha yako.
Utaacha mke wako mjane na watoto fatherless
Hapana. Mtaalam nlielekezwa nimekuta alifariki.Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa? Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei...www.jamiiforums.com
hapa hukufanikiwa?
Huwezi Wewe halafu Allah ndio mwenye kutoa riziki. 🤣🤣🤣Ntaweza mkuu. Nina njaa kweli.
Heri wafu wafao katika BWANA.Bora hivo. Kuliko kufa maskini.
Huyo alishindwa post #71 ninachokushauri ndugu yangu tafuta mtaji halafu tengeneza wazo lako zuri la biashara lianzishe. Hela itakufuata tu kuna Wanasiasa wana mahela kibao hawajui wayaweke wapi.Hapana. Mtaalam nlielekezwa nimekuta alifariki.
Isijekuwa kama kile kisa cha jamaa aliyaita nusura yarudi nae.Kuna kitabu kinaitwa Ars Goetia, kina orodha ya mapepo 72 ambayo mfalme solomon aliyafunga
Kinaelezea jinsi ya kuwaita, wapo ambao wanaleta utajiri
Kakisome.
Uje ulete mrejesho kama utapata hata mia😆
Muone chief godloveNataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.
Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.
Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]