Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Never ever huwez kua napesa halaf usiwe na furaha. Haipo hio duniani kote. Na haitokaitokee.
Wenye pesa halali hawana shida, wenye pesa za wizi dhamira zinawasuta, wenye pesa za mazingaombwe kuna ibada wanazifanya huku wakiteseka.
 
Tatizo lazima utakosea tuu,kama unaweza kumkosea Mungu,hata hayo majini utakiuja masharti yake tuu na huo ndio utakuwa mwisho wako kwa kuwa Majini hayana huruma kama Mungu alivyo na rehema ata ukimkosea anasamehe mara elfu
 
Usiende mbali nimeishi Bukoba mwaka 2009-2013 ndizi nilikua nazipanda mwenyewe, viazi, mihogo, karanga, mapapai, pasheni, mahindi, maharage ya njano na Yale mekundu miwa,Maembe ila Leo hii mkuu🤣siwezi tena kulima nishakua wa mjini daslama
 
Kila raheli katika kukupata huo ufalme wa Giza🙌
 
Tatizo lazima utakosea tuu,kama unaweza kumkosea Mungu,hata hayo majini utakiuja masharti yake tuu na huo ndio utakuwa mwisho wako kwa kuwa Majini hayana huruma kama Mungu alivyo na rehema ata ukimkosea anasamehe mara elfu
Kama ipo konekshen nipasie. Haya mengine ni yangu
 
Never ever huwez kua napesa halaf usiwe na furaha. Haipo hio duniani kote. Na haitokaitokee.​
Wakati nilipokuwa kijana kwenye harakati, nikakutana na mzee mmoja; akaniambia kijana mbona unaonekana wewe uko vizuri sana, unaonaje tukufanyie mambo ili uwe mfanya biashara mkubwa.

Nikauliza ki vipi?

Akasema, kuna ngozi ya mnyama itachanwa na itaandikwa maneno ya kiarabu, na itafanyiwa ibada, na itashonewa ndani ya mwili wangu.
Sharti; usile kitimoto, usinywe pombe, usitembee na wanawake, na kila mwisho wa mwezi kuna ibada ya kuchinja mnyama itatakiwa ifanyike, huku siku hiyo ukiwa umevaa vazi jeupe.

Nikauliza, nisipofuata hayo masharti itakuwaje? akasema, siwezi kukwambia itatokea nini, ila kama uko tayari tufanye kazi.

Nikatafakari; nini maana ya kuwa na hela na vitu vizuri kutokuvitumia? Je huyu mzee akifa nikiwa tayari kwenye maagano, itakuwaje?
Nikamwambia sitaweza.

Kwa mazingira haya, kwa wewe mwenye tamaa ungeingia na mwisho wa siku ungekuwa mtumwa wa dunia.​
 
Cc
Pdidy
 
Usiende mbali nimeishi Bukoba mwaka 2009-2013 ndizi nilikua nazipanda mwenyewe, viazi, mihogo, karanga, mapapai, pasheni, mahindi, maharage ya njano na Yale mekundu miwa,Maembe ila Leo hii mkuu🤣siwezi tena kulima nishakua wa mjini daslama
Kwa hiyo leo hapo mjini unategemea hiyo shilingi mia unayoiangaikia kwa jasho kila siku, ndio igeuke kuwa viazi, mihogo, karanga, mapapai, pasheni, mahindi, maharage ya njano na Yale mekundu miwa,Maembe​
 
Tayari. Mimi sioni shida na kizur wife ashanipa baraka zote mana yeye naye kashachoka.
Muulize mke wako, je yuko tayari yeye kutangulizwa kama ikitokea hivyo?

Ni sawa na kusema; kichwa chako unakiuza kwa shilingi milioni 500. Je uko tayari kukiuza hicho kichwa chako?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…