Nataka kukaa mbali na mtoto

Sawa asante nitalifnyia kazi
 
Unajua najiuliza kwa mfano umefanikiwa kumtenga huyo mtoto afu siku za mbele imetokea umerudiana na babake,imagine mtoto atakuchukuliaje? Endelea kukaa nae karibu maana bado ni mtoto mpaka pale atakapobaini mwenyewe atachagua,usimletee sononeko[emoji144]
 
Mtoto wako na mtoto wa yule ni mtoto wa wote. Show love kwa mtoto, hana hatia na hana analojua. Unaweza ukawa faraja , daraja na njia kwake katika naisha. Mambo yako na ex wako weka pembeni, ukiina ex wako analeta ukuda wa mazoea na mtoto unaweza tumia busara na hekima kuwaweka wote pembeni
 
Jamani mamaaaa kumbe mmeachana na baba na hautaki kuniambia?
 
Sawa lakini nahis mzaziwake hajajiskia vizuri kutokuwa na taarifa za muhimu kama hizo alafu kwangu anakuja daily mama Kuna hiki na hiki
 
Dogo kakukubali maza. Ishi nae fresh tu. Mzazi akubaki asikubali wewe usijitenge.
 
Sawa nimeelewa kaka
 
Subiri akipata pesa utamtafuta ukae karibu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…