Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯Watoto hawana unafki
Sawa asante nitalifnyia kaziMaskini wala usikae nae mbali,pengine ni vile ulivyokua unampenda amejisikia faraja sana,sio watu wengi wanaweza kuonyesha upendo kwa mtoto au ,watu huhisi kulipa ada na kununua nguo imetosha kumbe kuna zaidi especially kwa hao watoto!
Wewe endelea tu kuwa nae usimtenge gafla atapata sonono,siku zinavyozidi kwenda i hope atakuja kuelewa tu kuwa hauko na baba yake so yeye mwenyewe atajitenga!
Hakuna shidaNatamni iwe hivo pia ila kuleta ujumbe kwangu na kuja kukumbusha nosikose na kusahau Kwa baba Ake ndo inanifikirisha zaidi
Mtoto wako na mtoto wa yule ni mtoto wa wote. Show love kwa mtoto, hana hatia na hana analojua. Unaweza ukawa faraja , daraja na njia kwake katika naisha. Mambo yako na ex wako weka pembeni, ukiina ex wako analeta ukuda wa mazoea na mtoto unaweza tumia busara na hekima kuwaweka wote pembeniNatumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko karibu sana na Mimi ni mpole anaadabu sana.
Baada ya muda nikahama mkoa x ila mtoto Kila akiwa na babaake anasema msalimie mama na simu anaomba anipigie niongee nae now nimetengana na baba Kwa sabbu tulizoshindwa kuzitatua na mtoto sahiz anamiaka 8 lakini nikirudi haipiti siku lazima Aje kunisalimia na ananiita mama lakin sioni tatizo najua ni upendo tu.
Kubwa kuliko Wana mahafali madrasa akaja kunipa taarifa na kilasiku huwa anakuja kunikumbusha nisisahau kwenda kutokana na ubusy na kwakuwa ni mtoto Kuna details hakunipa yaani muda wa sherehe na mahitaji mengine nikaamua kumpigia simu babaake kumuuliza aniambie muda Cha ajabu baba Hana taarifa na hakupewa na mtoto na huwa wanaonana sana.
Nimejisikia vibaya nahisi huu ukaribu Sasa utaleta tafrani nataka nikae mbali na huyu mtoto bila kumuonyesha kuwa sipo kbisa na babaake
namnagan nimuweke mbali na isimuathiri huyu mtoto?
Na kma sio uamuz mzuri mnaweza kunisahihisha
Jamani mamaaaa kumbe mmeachana na baba na hautaki kuniambia?Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.

Sawa lakini nahis mzaziwake hajajiskia vizuri kutokuwa na taarifa za muhimu kama hizo alafu kwangu anakuja daily mama Kuna hiki na hikiUnajua najiuliza kwa mfano umefanikiwa kumtenga huyo mtoto afu siku za mbele imetokea umerudiana na babake,imagine mtoto atakuchukuliaje? endelea kukaa nae karibu maana bado ni mtoto mpaka pale atakapobaini mwenyewe atachagua,usimletee sononeko[emoji144]
Sawa nimeelewa kakaMtoto wako na mtoto wa yule ni mtoto wa wote. Show love kwa mtoto, hana hatia na hana analojua. Unaweza ukawa faraja , daraja na njia kwake katika naisha. Mambo yako na ex wako weka pembeni, ukiina ex wako analeta ukuda wa mazoea na mtoto unaweza tumia busara na hekima kuwaweka wote pembeni
Vipi lakini 😊😊 upo single kama mieSawa nimeelewa kaka