Nataka kukaa mbali na mtoto

Natamni iwe hivo pia ila kuleta ujumbe kwangu na kuja kukumbusha nosikose na kusahau Kwa baba Ake ndo inanifikirisha zaidi
Hapo inaonyesha Baba hayupo karibu na mtoto ndio maana hata haoni sababu ya kumwambia Baba yake...ujue watoto wanajua Sana hapa kama napendwa au laa! Kwahiyo ameona mapenzi yako kwake ndio maana wewe ndio kimbilio lake....endelea kuwa karibu nae na next time usimuulize Baba yake baadhi ya mambo....Mda utaongea itafika kipindi huenda atajua ukweli......Ila pliz don't break his/her heart
 
Umuache ana Kosa gani, Kosa la mme wako unamuambukiza mtoto?? Usifanye acha komaa! Mchukuwe huyo mtoto ingawa sio wako
 
Ishi naye tu. Mbona haina madhara hata.
Sema sasa ni vile itabidi vitu vingine umshirikishe baba yake, na kama hautaki ukaribu na huyo dear ex ndio shida ilipo.
 
Bado mnaishi karibu nahuyo ex wako yani baba mtoto??? ????

Unadhani mtoto anaweza kuwafanya mkarudiana??? Au nivile ataharibu mahusiano yako mapya??

Mtoto hana shida nivile anakukubali sana the way ulijenga nae bond na unavyomjali sana!!
If so Fanya utaratibu wa kuhamia mbali kidogo kusiwepo na mawasiliano ya karibu wewe nahuyo mtoto!!
 
Ishi naye tu. Mbona haina madhara hata.
Sema sasa ni vile itabidi vitu vingine umshirikishe baba yake, na kama hautaki ukaribu na huyo dear ex ndio shida ilipo.
Na kwa mahusiano yake mapya kama mtu sio muelewa anaeza msumbua akidhani bado wana uhusiano na ukaribu na baba mtoto!
 
Asante Kwa ushauri na ni kweli ni upendo nampenda na ni wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…