Nataka kukaa mbali na mtoto

Nataka kukaa mbali na mtoto

Natamni iwe hivo pia ila kuleta ujumbe kwangu na kuja kukumbusha nosikose na kusahau Kwa baba Ake ndo inanifikirisha zaidi
Hapo inaonyesha Baba hayupo karibu na mtoto ndio maana hata haoni sababu ya kumwambia Baba yake...ujue watoto wanajua Sana hapa kama napendwa au laa! Kwahiyo ameona mapenzi yako kwake ndio maana wewe ndio kimbilio lake....endelea kuwa karibu nae na next time usimuulize Baba yake baadhi ya mambo....Mda utaongea itafika kipindi huenda atajua ukweli......Ila pliz don't break his/her heart
 
Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa
namnagan nimuweke mbali na isimuathiri huyu mtoto?

Na kma sio uamuz mzuri mnaweza kunisahihisha
Umuache ana Kosa gani, Kosa la mme wako unamuambukiza mtoto?? Usifanye acha komaa! Mchukuwe huyo mtoto ingawa sio wako
 
Ishi naye tu. Mbona haina madhara hata.
Sema sasa ni vile itabidi vitu vingine umshirikishe baba yake, na kama hautaki ukaribu na huyo dear ex ndio shida ilipo.
 
Bado mnaishi karibu nahuyo ex wako yani baba mtoto??? ????

Unadhani mtoto anaweza kuwafanya mkarudiana??? Au nivile ataharibu mahusiano yako mapya??

Mtoto hana shida nivile anakukubali sana the way ulijenga nae bond na unavyomjali sana!!
If so Fanya utaratibu wa kuhamia mbali kidogo kusiwepo na mawasiliano ya karibu wewe nahuyo mtoto!!
 
Ishi naye tu. Mbona haina madhara hata.
Sema sasa ni vile itabidi vitu vingine umshirikishe baba yake, na kama hautaki ukaribu na huyo dear ex ndio shida ilipo.
Na kwa mahusiano yake mapya kama mtu sio muelewa anaeza msumbua akidhani bado wana uhusiano na ukaribu na baba mtoto!
 
Hapo inaonyesha Baba hayupo karibu na mtoto ndio maana hata haoni sababu ya kumwambia Baba yake...ujue watoto wanajua Sana hapa kama napendwa au laa! Kwahiyo ameona mapenzi yako kwake ndio maana wewe ndio kimbilio lake....endelea kuwa karibu nae na next time usimuulize Baba yake baadhi ya mambo....Mda utaongea itafika kipindi huenda atajua ukweli......Ila pliz don't break his/her heart
Asante Kwa ushauri na ni kweli ni upendo nampenda na ni wa kiume
 
Back
Top Bottom