Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππEeeh tuunganishe koo πππ
β€οΈ....π€Sioni shida yoyote hapo cute,ni mtoto tu huyo endelea kumpa nafasi ya upendo toka Kwa mama
Hapo inaonyesha Baba hayupo karibu na mtoto ndio maana hata haoni sababu ya kumwambia Baba yake...ujue watoto wanajua Sana hapa kama napendwa au laa! Kwahiyo ameona mapenzi yako kwake ndio maana wewe ndio kimbilio lake....endelea kuwa karibu nae na next time usimuulize Baba yake baadhi ya mambo....Mda utaongea itafika kipindi huenda atajua ukweli......Ila pliz don't break his/her heartNatamni iwe hivo pia ila kuleta ujumbe kwangu na kuja kukumbusha nosikose na kusahau Kwa baba Ake ndo inanifikirisha zaidi
Yaani weweKumbe mrembo upo single[emoji7][emoji7][emoji7]
Umuache ana Kosa gani, Kosa la mme wako unamuambukiza mtoto?? Usifanye acha komaa! Mchukuwe huyo mtoto ingawa sio wakoNatumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa
namnagan nimuweke mbali na isimuathiri huyu mtoto?
Na kma sio uamuz mzuri mnaweza kunisahihisha
Sasa mie nimefanyaje tena.Yaani wewe
Uzinzi tu.Sasa mie nimefanyaje tena.
Mambo mrembo.? Vipi na wewe upo single?
Hahaha uzinzi ndio raha ya dunia.Uzinzi tu.
Nipo poa Mzabzab, vipi hali yako?
Na kwa mahusiano yake mapya kama mtu sio muelewa anaeza msumbua akidhani bado wana uhusiano na ukaribu na baba mtoto!Ishi naye tu. Mbona haina madhara hata.
Sema sasa ni vile itabidi vitu vingine umshirikishe baba yake, na kama hautaki ukaribu na huyo dear ex ndio shida ilipo.
Mhm hii ngumu kumesa na haitaleta Picha nzuri or else wanampango wa kurudiana nahuyo ex wake au yeye akae singo tu !Umuache ana Kosa gani, Kosa la mme wako unamuambukiza mtoto?? Usifanye acha komaa! Mchukuwe huyo mtoto ingawa sio wako
Fursa hiyo mie nishatuma request nasubiri ma answer ππKumbe mrembo upo singleπππ
πππMhm hii ngumu kumesa na haitaleta Picha nzuri or else wanampango wa kurudiana najitoa ex wake au yeye akae singo tu !
Asante Kwa ushauri na ni kweli ni upendo nampenda na ni wa kiumeHapo inaonyesha Baba hayupo karibu na mtoto ndio maana hata haoni sababu ya kumwambia Baba yake...ujue watoto wanajua Sana hapa kama napendwa au laa! Kwahiyo ameona mapenzi yako kwake ndio maana wewe ndio kimbilio lake....endelea kuwa karibu nae na next time usimuulize Baba yake baadhi ya mambo....Mda utaongea itafika kipindi huenda atajua ukweli......Ila pliz don't break his/her heart
πππππ
Kila lenye kheri katika hilo mjomba wangu!!πFursa hiyo mie nishatuma request nasubiri ma answer ππ